The 'Bagamoyo deal'

The 'Bagamoyo deal'

Hivi huko Bagamoyo mnaposema panapendelewa kuna kitu gani? Kuna mradi gani? Mbona mpaka leo kuna miradi mipya kila siku inajengwa Dar es Salaam na sisikii watu wakiongelea hiyo logic yako ya kutafuta maenedeleo kwa nchi nzima?

When you compare Bagamoyo na Mtwara, Bagamoyo ipo nyuma sana, tena pamoja na kuwa karibu na jiji la Dar es salaam. Kitu muhimu cha kutambua, mji, nchi, inajengwa na wananchi wenyewe. Na wananchi wanakwenda kule kulipo na fursa. Tutake, tusitake, fursa zinazojitokeza Mtwara kwasababu ya gesi, zitaijenga mtwara mpya na ya kisasa. Hivi tunavyozungumza, watu wengi wajanja washanunua plots Mtwara....nenda leo Mtwara hautopata kiwaja, na ukipata, bei yake ipo juu kuliko miaka miwili iliyopita.

Tuachane na siasa......masuala ya uchumi yanakuwa determined na factors za uchumi na sio factors za siasa au uzalendo. Yes. I can confirm to you for sure, mwekezaji mwenyewe ndio amechagua Bagamoyo na sio Serikali.

Wanaopiga vita mradi wa Bagamoyo ni wale ambao wana hofu kwamba mradi huu utaathiri mradi wa kupanua bandari ya Dar es salaam ambao baaadhi yao wamevuta mshiko kwa overpricing ya mradi huo. Wengi wapo within the government, parliment na makuwadi wa kampuni iliyotengeneza deal la ujenzi wa gati 13 na 14 kwa bei zaidi ya mara mbili. Wengine innocently wana fall into trap ya mjadala bila kujua kinachoendelea
Basi kama ni kweli kuwa mwekezaji ndiye aliyechagua Bagamoyo na si serikali basi uhuru wetu tumeuweka rehani. Yaani serikali yetu inaendeshwa kwa matakwa ya mwekezaji and not vice versa.
 
Basi kama ni kweli kuwa mwekezaji ndiye aliyechagua Bagamoyo na si serikali basi uhuru wetu tumeuweka rehani. Yaani serikali yetu inaendeshwa kwa matakwa ya mwekezaji and not vice versa.

Hivi mtu akija na kusema anataka kununua nyumba Kinondoni, wakati wewe unanyumba unazouza Kawe, utamlazimisha anunue ya Kawe? Akiamua kununua Kinondoni, atakuwa amemuweka rehani muuza nyumba, simply because hakununua kule unakoona wewe kunafaa?
 
Mimi nadhani China wameenda mbali zaidi katika kufikiria kuliko kumridhisha mtu mmoja. Kumbuka kwamba China wana Mkataba wa kuchimba mafuta Sudani ya Kusini na kwa sasa baada ya kuwepo taifa la sudani ya kusini, kuna mgogoro wa kusafirisha mafuta hayo kwenda bandarini mwa Sudani ya Kaskazini. Sasa wao kuwa na bandari as North as possible close to Sudan ni advantage kwao. Hapa wana focus on Africa investment na sio eti gas ya Mtwara. Wao wanatumia kikamilifu economic theories kama vile Heckscher-Ohlin theory of comparative advantages. Sisi tunaishiria kufikiri uccm, uchadema, udini na ukabila. Chuma ya Liganga inatakiwa iwe na by products za kutosha kama vile Vanadium na Titanium lakini kwa current iron ore price ni ngumu sana kuijengea Bandari. There is no free lunch. Kama wamejenga uwanja, na jengo la mikutano unafikiri hizo zitarudi kwa njia gani? Tutumie akili zetu wenyewe kufikiria natural resources zetu tusisubiri eti Mchina aje afikiri hapa pana kina kirefu, Chuma, Makaa ya mawe, sijui Mtwaracorridor sijui na mtwara sitting room nk
 
Mshindo......kwahiyo wewe hautaki uwekezaji huo sio? Faida zake hatuzitaki kweli? Nikusaidie ufahamu faida ya uwekezaji huu.......

mradi wa Bandari ya Bagamoyo na Eneo la viwanda utakuwa na manufaa mengi from day one utakapoanza. Wananchi wapatao 3000 watapata ajira za muda za moja kwa moja katika ujenzi wa bandari na EPZ, wananchi wengine wapatao 2000 na zaidi watapata ajira zisizo za moja kwa moja kama vile Mama Ntilie watakaouza chakula, wenye nyumba zao watakaowapangisha wajenzi, wauza vinywaji, watoa huduma za usafiri-daladala, taxi, maroli ya kusafirisha mizigo n.k

Faida nyinginezo za mradi huo ni kwamba mara utakapokamilika, thamani ya properties zilizopo eneo la mradi na maeneo ya jirani kama vile Bunju,Boko, Mbezi, Tegeta n.k yatapanda thamani na kuwafaidisha wamiliki endapo watahitaji kukodisha property zao au kuzitumia kuwekea rehani kupata mikopo benki n.k

Faida nyingine ni za moja kwa moja kwa Serikali......ukubwa wa bandari maana yake volume ya mizigo itakayopitia hapo itaongezeka ambapo Serikali itaongeza mapato kupitia IMPORT DUTY, customs Duty......bandari itakapokamilika itaajiri wafanyakazi wasiopungua 1000; eneo la viwanda litakapomilika-litawezesha viwanda vingi kujengwa (by the way Mwekezaji ndio atavutia viwanda kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuweka viwanda vyao kwenye eneo hilo na tayari ameshapata wawekezaji walio tayari kuwekeza provided kuna efficient port) na viwanda hivyo vitatoa ajira kwa wananchi wasiopungua 50,000 na zaidi.

Kwa faida ya wasiojua kwanini viwanda vingi vitakuja kuwekeza katika eneo hilo:
1) bidhaa zitakazozalishwa hapa Tanzania katika eneo hilo la viwanda zitaweza kufaidi misamaha ya kodi inayotolewa kwa Nchi masikini huko Marekani (Chini ya AGOA); Ulaya (Everything but Arms EBA), Japan (TICAD consession), na China yenyewe iliyotoa msamaha wa kodi kwa asilimia 95 ya bidhaa zinazozalishwa Tanzania

2) Cheap labour- ukweli ni kwamba toka China uchumi wake umekua, factors of production zilizokuwa zinawa favour zimetoweka....Afrika ndio ina fursa ya kuziba pengo hilo la China

3) Kwakuwa viwanda vingi lengo lao ni kuzalisha bidhaa za kupeleka nje ya nchi- uwepo wa bandari kubwa yenye mtandao mkubwa duniani inakuwa ni kivutio kikubwa kwao.....mwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo anao mtandao wa bandari kadhaaa ulimwenguni....wao ndio wanamiliki bandari tano kati ya bandari kubwa kumi duniani....ikiwemo bandari ya Hongkong, Schenzen n.k

Ukiachilia ajira etc.....serikali inaweza kufaidika pia kwa kupata mrahaba (royalty) katika kipindi chote ambacho mwekezaji ataendesha bandari ili kurejesha uwekezaji aliofanya.

La muhimu hapa ni wataalam wetu watakao negotiate mkataba huo kuwa makini na kuhakikisha serikali inapata WIN-WIN deal na hao wawekezaji. Kwenye nchi nyingine kama Singapore, India, Ulaya, Marekani...zipo specialised firms zinazotoa huduma ya kuguide serikali zinazo negotiate na wawekezaji complex transactions za aina hii. Ipo haja ya Serikali kuangalia uwezekano wa ku procure services za firm za aina hiyo.

Nakupongeza kwa muda na ufafanuzi mzuri kabisa. Asiyependa moja tu kati ya hayo pengine ni mwendawazimu! Ambacho sipendi kukubali ni kuwa hayo yote yatakuja TU endapo "investor" huyu wa kipekee atakuja na endapo TU masharti yake ni LAZIMA yafuatwe kama msaafu.
Hivi ni nini ambacho nchi yetu imewahi walau kuwaza tu kufanya yenyewe hata walau kwa kukopa? Toka wahuni fulani walipoanza kuimba nyimbo za uwekezaji binafsi (hasa toka nje) nchi hii imesimama kufikiri namna nyingine ya kuendeleza rasilimali Mungu alizotukirimia? Umeme....mwekezaji; utalii...mwekezaji; madini....mwekezaji; tumeanza siku hizi hata barabara tunatafutia mwekezaji ajenge!!!
Kwa mfano mmoj tu...hivi tunavyozungumza,Ethiopia wanaendeleza mradi mwa HEP wa USD 4.8 bn. utakaokuwa the biggest HEP plant in Africa (6,000 MW). Nani katuloga sie?
 
Serikali ikiweza kamilisha miradi mikubwa nitaipongeza sana

Mfano
1) Bandari ya Bagamoyo
2) Mtwara Corridor
3) Upanuzi wa Bandari ya Mtwara
(O&G, Cement, mafuta ya kula)
4) Facilitate Dangote Investment
5) Uranium Deal
6) Coal deal
7) Railway kufika na kutoka Bandari muhimu (Tanga, Mtwara nk)
8) LNG Port at Kilwa
9) Facilitate LNG Plant
10) Geo thermal energy investment
Haya mambo yataleta ajira nyingi sana
Angalau 100k+ (directly and indirectly)
Wadau tusupport jitahada hizi
 
Nakupongeza kwa muda na ufafanuzi mzuri kabisa. Asiyependa moja tu kati ya hayo pengine ni mwendawazimu! Ambacho sipendi kukubali ni kuwa hayo yote yatakuja TU endapo "investor" huyu wa kipekee atakuja na endapo TU masharti yake ni LAZIMA yafuatwe kama msaafu.
Hivi ni nini ambacho nchi yetu imewahi walau kuwaza tu kufanya yenyewe hata walau kwa kukopa? Toka wahuni fulani walipoanza kuimba nyimbo za uwekezaji binafsi (hasa toka nje) nchi hii imesimama kufikiri namna nyingine ya kuendeleza rasilimali Mungu alizotukirimia? Umeme....mwekezaji; utalii...mwekezaji; madini....mwekezaji; tumeanza siku hizi hata barabara tunatafutia mwekezaji ajenge!!!
Kwa mfano mmoj tu...hivi tunavyozungumza,Ethiopia wanaendeleza mradi mwa HEP wa USD 4.8 bn. utakaokuwa the biggest HEP plant in Africa (6,000 MW). Nani katuloga sie?

Mshindo ni kweli kabisa katika taifa lolote ipo miradi ambayo lazima itekelezwe na serikali yenyewe, na ipo mingine inayofaa kuvutia uwekezaji. Mfano ulioutoa wa Ethiopia ni sawa kabisa. Labda nikukumbushe tu kwamba hata Tanzania ipo miradi mingi tu mikubwa inayotekelezwa na Serikali bila kusubiri wawekezaji. Mfano ni mradi mkubwa wa kusafirisha bomba la gesi wa usd 1.2 billion. Sambamba na mradi huu, ipo miradi mikubwa ya uzalishaji na usambazaji wa umeme ambayo utekelezaji wake utaanza muda si mrefu. Miradi hii inafanywa na Serikali yenyewe bila kusubiri wawekezaji. Vilevile ipo miradi ya Mkonga wa Taifa iliyotekelezwa kwa fedha za serikali. Leo hii, Serikali ina miradi ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 3000 nchi nzima ambazo zote zinajengwa kwa fedha za Serikali bila kusubiri wawekezaji. Ili upate picha tu, urefu wa kilomita 3000 zinaweza ku cover nchi nzima ya Rwanda, Burundi na Kenya combined.

That said, kuhitaji uwekezaji kutoka nje sio dhambi. Nchi zote zilizopiga hatua leo hii....uwekezaji una mchango mkubwa. Angalia Qatar, UAE, Afrika ya Kusini.....hizi ni nchi zimepiga hatua kutokana na mitaji ya uwekezaji kutoka nje. Wote hawa wana rasilimali nyingi tu, bado wamehitaji wawekezaji kupiga hatua. Nchi kama Singapore, imeweza kutoka kuwa nchi ya dunia ya tatu hadi ya kwanza kwa kipindi cha miaka 50 tu kwasababu ya uwekezaji kutoka nje. Ulaya yenyewe, baada ya vita kuu ya pili ya dunia......ilishuka kabisa kiuchumi, lakini uwekezaji wa marekani ndio uliwanyanyua.

Jambo muhimu la kuzingatia ni kuweka sheria, mifumo na taratibu za kuhakikisha uwekezaji unaofanyika unakuwa win-win kwa Serikali na mwekezaji. Na win-win yenyewe kwa upande wa Serikali ni kodi zitakazolipwa, ajira zitakazotengenezwa n.k
 
Hata wewe hauna tofauti na Bw.Kikwete na Serikali kwa ujumla, kama ungetaka hoja yako iweze kujadiliwa kwa upana na Watz wengi ungeandika kwa Kiswahili, ndio ungepata maoni ya watu wengi, vinginevyo hoja yako itaishia ishia tu bila uchangiwaji wowote!
get the point and discuss and avoid deviating from the point using language used as an excuse.
 
Adili

Theory yako ni nzuri academically, lakini the bottom line ni investor anayeamua kuwekeza, anachoangalia sio factors ulizojikita wewe. Anachoangalia ni mahala ambapo atakapa returns.

Muhimu ieleweke ni investor ambaye ameamua pesa yake awekeze Bagamoyo na sio Tanga, au Mtwara, au Kilwa, au Dar es salaam.

Ingekuwa zinachukuliwa pesa za walipa kodi kujenga bandari.....then hoja zako zingekuwa na mashiko.

What matters ni return of investment....and nothing else
i beg to differ with you in the way that you think about investors and investments. Have you ever thought of win-win situation between investor and the country he is investing on? Why why should the country lose for investor to gain?
 
SAB Millers ime invest kwenye breweries hapa Tanzania,yaani TBL. Leo hii TBL inatoa ajira ya moja kwa moja kwa mamia ya watanzania, inetengeneza indirect employment kwa maelfu ya watanzania nchi nzima (wauza baa, wauza vyakula, wasafirishaji kuanzia mkokoteni, maroli etc TBL ni moja ya makampuni yanayolipa kiasi kikubwa cha kodi nchini. That is what we call "Win win situation". Same could be said kwenye Sigara, walipoinvest Japan Tobacco company.
mifano mingine chungulia nchi kama Singapore, na Qatar huko ndio utakuta mingi zaidi. To answer your question, the country doesnt have to loose for an investor to gain. Tatizo hapa kuna mentality ya kwamba always gvt ita loose, na investor ata gain.....if and when you negotiate a better deal for the country, all will be winners.
 
yaani tangia NYERERE ajiondokee kumbe fikra top-down ni kama ya JADI?TUMELIWA!
 
Hata wewe hauna tofauti na Bw.Kikwete na Serikali kwa ujumla, kama ungetaka hoja yako iweze kujadiliwa kwa upana na Watz wengi ungeandika kwa Kiswahili, ndio ungepata maoni ya watu wengi, vinginevyo hoja yako itaishia ishia tu bila uchangiwaji wowote!
Huyu ni msomi wa Marian Girls ?
 
Adili

Theory yako ni nzuri academically, lakini the bottom line ni investor anayeamua kuwekeza, anachoangalia sio factors ulizojikita wewe. Anachoangalia ni mahala ambapo atakapa returns.

Muhimu ieleweke ni investor ambaye ameamua pesa yake awekeze Bagamoyo na sio Tanga, au Mtwara, au Kilwa, au Dar es salaam.

Ingekuwa zinachukuliwa pesa za walipa kodi kujenga bandari.....then hoja zako zingekuwa na mashiko.

What matters ni return of investment....and nothing else

Hapa hakuna hoja kwani investment yoyote yenye interest kwa maendeleo ya taifa, anayetafuta na kutoa priority ya wapi anataka investment, hasa ya infrastructure ifanyike ni serikali. Bandari, barabara, airport, etc, iwe inajengwa na private sector au serikali, feasibility study yabidi ifanyike na kujua faida. Alichokiandika mwandishi ni point blank!!! Hii Bandari ya Bagamoyo haikuanza pigiwa debe leo, ni tangu 2006. Kumekuwa na discussion na mapendekezo mbali mbali na Benki ya Dunia na wawekezaji wengine. Wengi hawakuona logic ya kuwekeza kwenye hii bandari. Hii Bandari ni white elephant na inajengwa kisiasa zaidi kuliko kuangalia hoja za kiuchumi. Huwezi jenga Bandari kubwa inayo-compete na nyingine kwenye nchi moja only 60 kms apart. Tanga na Mtwana zina maslahi makuwa kuliko ya Bagamoyo. Nchi kama Singapore. Malaysia, Hongkong, Taiwan etc hazikuendelea kwa kuachia private sector ifanye inavyotaka. Walikuwa strategic na kuelekeza private sector ifanye kile serikali inachotaka.
 
Bababa Tunde, I wonder kama kampuni kubwa inayomiliki bandari tano kati ya bandari kubwa kumi duniani, itafafanya maamuzi ya kuwekeza mahala kwasababu za kisiasa kama unavyotaka kutuaminisha. Mimi ninahisi wenzetu mnaochangia hoja hizi, hamuishi Dar es salaaam, ham experience taaaabu kubwa tunayoipata wenzenu ya foleni kuuuubwa around the clock sababu jiji letu limezidiwa na idadi ya watu wanaokuja mjini kufuata huduma (bandari ikiwa ni moja ya huduma hizo). Leo hii mtu yoyote mwenye macho ya kibiashara/kiuchumi hawezi kujitosa kuwekeza katika bandari ya Dar es salaam......mji umekuwa congested kupitiliza, bandari ya Dar imeelemewa mpaka zimeanza kufunguliwa bandari za nchi kavu kwa ajili ya kuhifadhi mizigo inayoshushwa pale bandarini.....matokeo yake foleni zinazidi kuongezeka. Hasara ambayo taifa inaipata kwa wazalishaji kupoteza muda kwenye foleni masaa mengi hapo haijawa quantified. Hali iko hivyo sasa wakati bado haujaongelea kuipanua bandari ya Dar.....siku itakayopanuliwa......nadhani watu watakuwa wana spend nusu ya muda wao wa siku barabarani.

Umeongelea Singapore, hivi unajua Singapore ilipoanzia bandari yao kuu, sio ilipo leo. Walijikuta wana tatizo kama letu. Wakaamua kujenga bandari mpya mahala pengine.....pale ilipokuwa ya zamani hivi sasa wanapanga kujenga stadium ya kisasa......na premium real estate propeties. Sisi bado tumebaki na njozi kung'ang'ania kitu kile kile mpaka sijui arudi masia.... We need to change our mindset

Umedai "Huwezi jenga Bandari kubwa inayo-compete na nyingine kwenye nchi moja only 60 kms apart" hayo ni mawazo mgando. Kinacho determine bandari kujengwa wapi ni soko na sio distance. Kama soko ni kubwa.....yaani mahitaji ya huduma za bandari ni makubwa....haijalishi unazo ngapi katika eneo moja. Sisi Tanzania tumebahatika kuwa na strategic geographic position kwa kuzungukwa na nchi ziziso na bahari (Landlocked) ambazo zote zinahitaji huduma za bandari kutoka kwetu. Hivyo sina shaka yoyote kuwa na soko la bandari zote za Tanzania. Cha muhimu ni kuboresha miundombinu ya reli na barabara ya kulink nchi hizo na bandari zilizopo ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo. By the way kule China.....bandari kubwa mbili ya Hong Kong na Shenzen zipo katika miji iliyopo only 17 Kilomitre apart....let alone 60 unayozungumzia... http://www.distancefromto.net/between/Hong+Kong/Shenzhen
 
Mshindo ni kweli kabisa katika taifa lolote ipo miradi ambayo lazima itekelezwe na serikali yenyewe, na ipo mingine inayofaa kuvutia uwekezaji. Mfano ulioutoa wa Ethiopia ni sawa kabisa. Labda nikukumbushe tu kwamba hata Tanzania ipo miradi mingi tu mikubwa inayotekelezwa na Serikali bila kusubiri wawekezaji. Mfano ni mradi mkubwa wa kusafirisha bomba la gesi wa usd 1.2 billion. Sambamba na mradi huu, ipo miradi mikubwa ya uzalishaji na usambazaji wa umeme ambayo utekelezaji wake utaanza muda si mrefu. Miradi hii inafanywa na Serikali yenyewe bila kusubiri wawekezaji. Vilevile ipo miradi ya Mkonga wa Taifa iliyotekelezwa kwa fedha za serikali. Leo hii, Serikali ina miradi ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 3000 nchi nzima ambazo zote zinajengwa kwa fedha za Serikali bila kusubiri wawekezaji. Ili upate picha tu, urefu wa kilomita 3000 zinaweza ku cover nchi nzima ya Rwanda, Burundi na Kenya combined. That said, kuhitaji uwekezaji kutoka nje sio dhambi. Nchi zote zilizopiga hatua leo hii....uwekezaji una mchango mkubwa. Angalia Qatar, UAE, Afrika ya Kusini.....hizi ni nchi zimepiga hatua kutokana na mitaji ya uwekezaji kutoka nje. Wote hawa wana rasilimali nyingi tu, bado wamehitaji wawekezaji kupiga hatua. Nchi kama Singapore, imeweza kutoka kuwa nchi ya dunia ya tatu hadi ya kwanza kwa kipindi cha miaka 50 tu kwasababu ya uwekezaji kutoka nje. Ulaya yenyewe, baada ya vita kuu ya pili ya dunia......ilishuka kabisa kiuchumi, lakini uwekezaji wa marekani ndio uliwanyanyua.Jambo muhimu la kuzingatia ni kuweka sheria, mifumo na taratibu za kuhakikisha uwekezaji unaofanyika unakuwa win-win kwa Serikali na mwekezaji. Na win-win yenyewe kwa upande wa Serikali ni kodi zitakazolipwa, ajira zitakazotengenezwa n.k
Sorry:Unaweza kuzitaja hizo 3000 KM kwa hela za Ndani?Qatar uwekezaji toka nje? Hapana sikubaliani na wewe labda uwekezaji wa Technology lakini sio hela kama sisi.
 
Sorry:Unaweza kuzitaja hizo 3000 KM kwa hela za Ndani?Qatar uwekezaji toka nje? Hapana sikubaliani na wewe labda uwekezaji wa Technology lakini sio hela kama sisi.

Kuhusu kilomita 3000 za barabara nitakutafutia takwimu....magufuli anazitaja kila siku. Kuhusu uwekezaji kutoka nje kwenda Qatar ni kweli sijakosea. Ile gas industry ya pale, ime create a lot of other investment opportunities katika ku service hiyo industry na kwenye maeneo mengine ya uchumi kama vile mabenki, ICT, mahoteli, insurance nk. Makampuni makubwa duniani yapo pale. Na bado Qatar inaendeleza investment attraction drive kama wendawazimu......hawachoki, na wala hawajaridhika na kushiba kwamba imetosha....lStock of direct foreign investment as of December 2012 ilikuwa ni $43.83 billion (cheki http://www.indexmundi.com/qatar/economy_profile.html)
 
Mshindo ni kweli kabisa katika taifa lolote ipo miradi ambayo lazima itekelezwe na serikali yenyewe, na ipo mingine inayofaa kuvutia uwekezaji. Mfano ulioutoa wa Ethiopia ni sawa kabisa. Labda nikukumbushe tu kwamba hata Tanzania ipo miradi mingi tu mikubwa inayotekelezwa na Serikali bila kusubiri wawekezaji. Mfano ni mradi mkubwa wa kusafirisha bomba la gesi wa usd 1.2 billion. Sambamba na mradi huu, ipo miradi mikubwa ya uzalishaji na usambazaji wa umeme ambayo utekelezaji wake utaanza muda si mrefu. Miradi hii inafanywa na Serikali yenyewe bila kusubiri wawekezaji. Vilevile ipo miradi ya Mkonga wa Taifa iliyotekelezwa kwa fedha za serikali. Leo hii, Serikali ina miradi ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 3000 nchi nzima ambazo zote zinajengwa kwa fedha za Serikali bila kusubiri wawekezaji. Ili upate picha tu, urefu wa kilomita 3000 zinaweza ku cover nchi nzima ya Rwanda, Burundi na Kenya combined. That said, kuhitaji uwekezaji kutoka nje sio dhambi. Nchi zote zilizopiga hatua leo hii....uwekezaji una mchango mkubwa. Angalia Qatar, UAE, Afrika ya Kusini.....hizi ni nchi zimepiga hatua kutokana na mitaji ya uwekezaji kutoka nje. Wote hawa wana rasilimali nyingi tu, bado wamehitaji wawekezaji kupiga hatua. Nchi kama Singapore, imeweza kutoka kuwa nchi ya dunia ya tatu hadi ya kwanza kwa kipindi cha miaka 50 tu kwasababu ya uwekezaji kutoka nje. Ulaya yenyewe, baada ya vita kuu ya pili ya dunia......ilishuka kabisa kiuchumi, lakini uwekezaji wa marekani ndio uliwanyanyua.Jambo muhimu la kuzingatia ni kuweka sheria, mifumo na taratibu za kuhakikisha uwekezaji unaofanyika unakuwa win-win kwa Serikali na mwekezaji. Na win-win yenyewe kwa upande wa Serikali ni kodi zitakazolipwa, ajira zitakazotengenezwa n.k
Sorry:Unaweza kuzitaja hizo 3000 KM kwa hela za Ndani?Qatar uwekezaji toka nje? Hapana sikubaliani na wewe labda uwekezaji wa Technology lakini sio hela kama sisi.
 
Sorry:Unaweza kuzitaja hizo 3000 KM kwa hela za Ndani?Qatar uwekezaji toka nje? Hapana sikubaliani na wewe labda uwekezaji wa Technology lakini sio hela kama sisi.

uhusu kilomita 3000 za barabara nitakutafutia takwimu....magufuli anazitaja kila siku. Kuhusu uwekezaji kutoka nje kwenda Qatar ni kweli sijakosea. Ile gas industry ya pale, ime create a lot of other investment opportunities katika ku service hiyo industry na kwenye maeneo mengine ya uchumi kama vile mabenki, ICT, mahoteli, insurance nk. Makampuni makubwa duniani yapo pale. Na bado Qatar inaendeleza investment attraction drive kama wendawazimu......hawachoki, na wala hawajaridhika na kushiba kwamba imetosha....lStock of direct foreign investment as of December 2012 ilikuwa ni $43.83 billion (cheki http://www.indexmundi.com/qatar/economy_profile.html)
 
Bababa Tunde, I wonder kama kampuni kubwa inayomiliki bandari tano kati ya bandari kubwa kumi duniani, itafafanya maamuzi ya kuwekeza mahala kwasababu za kisiasa kama unavyotaka kutuaminisha. Mimi ninahisi wenzetu mnaochangia hoja hizi, hamuishi Dar es salaaam, ham experience taaaabu kubwa tunayoipata wenzenu ya foleni kuuuubwa around the clock sababu jiji letu limezidiwa na idadi ya watu wanaokuja mjini kufuata huduma (bandari ikiwa ni moja ya huduma hizo). Leo hii mtu yoyote mwenye macho ya kibiashara/kiuchumi hawezi kujitosa kuwekeza katika bandari ya Dar es salaam......mji umekuwa congested kupitiliza, bandari ya Dar imeelemewa mpaka zimeanza kufunguliwa bandari za nchi kavu kwa ajili ya kuhifadhi mizigo inayoshushwa pale bandarini.....matokeo yake foleni zinazidi kuongezeka. Hasara ambayo taifa inaipata kwa wazalishaji kupoteza muda kwenye foleni masaa mengi hapo haijawa quantified. Hali iko hivyo sasa wakati bado haujaongelea kuipanua bandari ya Dar.....siku itakayopanuliwa......nadhani watu watakuwa wana spend nusu ya muda wao wa siku barabarani.

Umeongelea Singapore, hivi unajua Singapore ilipoanzia bandari yao kuu, sio ilipo leo. Walijikuta wana tatizo kama letu. Wakaamua kujenga bandari mpya mahala pengine.....pale ilipokuwa ya zamani hivi sasa wanapanga kujenga stadium ya kisasa......na premium real estate propeties. Sisi bado tumebaki na njozi kung'ang'ania kitu kile kile mpaka sijui arudi masia.... We need to change our mindset

Umedai "Huwezi jenga Bandari kubwa inayo-compete na nyingine kwenye nchi moja only 60 kms apart" hayo ni mawazo mgando. Kinacho determine bandari kujengwa wapi ni soko na sio distance. Kama soko ni kubwa.....yaani mahitaji ya huduma za bandari ni makubwa....haijalishi unazo ngapi katika eneo moja. Sisi Tanzania tumebahatika kuwa na strategic geographic position kwa kuzungukwa na nchi ziziso na bahari (Landlocked) ambazo zote zinahitaji huduma za bandari kutoka kwetu. Hivyo sina shaka yoyote kuwa na soko la bandari zote za Tanzania. Cha muhimu ni kuboresha miundombinu ya reli na barabara ya kulink nchi hizo na bandari zilizopo ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo. By the way kule China.....bandari kubwa mbili ya Hong Kong na Shenzen zipo katika miji iliyopo only 17 Kilomitre apart....let alone 60 unayozungumzia... Distance Between Hong Kong and Shenzhen
Salaama,asante kwa majibu!! Tatizo tulilonalo Tanzania ni kuamini kuwa kila mtuanayetoa hoja ya kuboresha au kueleza wazo tofauti aidha ana mawazo mgando auanafanya hivyo kwa sababu za kisiasa.
FoleniDar es Salaam: Foleni ya Dar es Salaam haichangiwi na malori yanayotoka bandarini peke yake kama unavyodai.Kwanza Malori yanayotoka bandarini na kuingia hayapiti katikati ya jiji. Tatizo kubwalililoko Dar, kama ilivyo miji mingine ya Afrika kusini mwa Sahara ni mipangomiji. Huwezi kuwa na mji ambao huduma zote kuu zinapatikana eneo moja audirection moja. Miji mikubwa ya Ulaya na Asia ina settilite cities na unakutamiji mipya inajengwa ili kupunguza pressure ya miji ya zamani (Go to London, Beijing,Tokyo, Paris, Abuja, etc). Kwa jinsi tunavyokwenda na jinsi mji wa Darunavyokuwa kiholela, tatizo la foleni halitakwisha. Hata mabasi ya kasi yanayokujahayatamaliza (Moro – City centre) tatizo. Ukweli ni kuwa plan za mji wa Dar unafanywakisiasa au wenye uwezo wa kuupanga hawana vision. Pamoja na kuupanua mji wa Darkuwa wa kisasa kuelekea Kigamboni – Kimbiji, Master city Plan for modern cityingefanyika pia eneo la Pwani kuelekea Msata. Hii ingehusisha upimaji wa maeneoya makazi, ofisi, viwanda etc. Kwa jinsi inavyofanyika sasa hivi, mji waBagamoyo utakuwa kijiji kimoja kisichokuwa na mpangilio wowote. KujengaBandari, Uwanja wa Ndege etc katikati ya maeneo yaliyopangwa kihohela ni kukosamaono ya wapi tutakuwa 50 years to come. Tunahitaji kufanya maamuzi magumuyaliyo juu ya fikra finyu za kisiasa (5 years election plan).
Competingports: Ni ukweli usiofichika na muda utakuwa shahidi, Bagamoyo Port haitakuwana msaada mkubwa kwa Bandari ya Dar. Kama umesoma project Document ya mpango waujenzi wa Bandari mwambao wa Bahari ya Lindi, Bandari ya Bagamoyo ni kwa ajili yaku-handlevessels ndogo ndogo na si kubwa. Hii, kama ilivyo kwenye Bandari nyinginezinazoendeshwa na wachina ulimwenguni, itakuwa na jukumu la kurahisishabiashara ya China na Mataifa inayofanya nazo biashara. Ukumbuke kuwa, Singaporeiliamua kujenga Bandari nyingine na kuicha ile ya zamani si kwa sababu yafoleni kama unavyotaka kutuaminisha, ni kwa sababu, Singapore kama free port nanchi ndogo ,723.2 sq. km(almost the size of Mafia Islands which is 886.03 sq km) na kukua kwa sekta ya viwanda ilikuwana haja ya kufanya hivyo. Sisi, kimsingi ni net importers wa almost kila kitulakini tuna bahati ya kuwa na majirani wasiokuwa na Bandari. Ujue pia kuwaSingapore kama kisiwa na kama free port ina-justify kuwa na bandari hata ndaniya Kilometa moja kwa kuwa wao wanatoa service kwa nchi zinazoizunguka. Hapakwetu hatuna budi kuangalia kila kitu tunachokifanya kwa maana ya macho yamiaka 50 hadi 100. Uboreshaji wa Bandari ya Tanga kwa mfano, ingekuwacompetitor mkubwa wa bandari ya Mombasa kwani ingerahisisha usafirishaji waMizigo ya Uganda, Rwanda, Burundi na Kanda ya Kaskazini. Mtwara, pamoja nauwekezaji unaofanyika huko, ungerahisisha usafirishaji wa mizigo ya Malawi,Zambia, E. Congo na hivyo kuwa competitor wa Bandari za Beira na Durban. Ujue,kuna nchi kama Djibout inaendesha uchumi wake kwa kutumia bandari kwa asilimia80.
Maoniyangu:
1. Mjiwa Bagamoyo ufanyiwe urasimishaji kuanzia inapopakana na Kibaha, Kinondoni hadiWami. Kwa kuwa Wachina wameshaingia mkataba na hakuna namna ya kuuvunja kwasasa (whether huo mkataba uko kisiasa au kimaslahi ya wachina), Urasimishajihuu utaufanya mji wa Bagamoyo kuwa wa Kisasa kama ilivyo Abuja na kupunguzapressure ya Dar.
2. Bandariza Tanga na Mtwara ziwe ni agenda yetu kuu kwa miaka 10 ijayo. Hii ijumuisheujenzi wa barabara na reli kama mwandishi alivyopendekeza.
3. Tutafutevitu kama nchi vitakavyotuwezesha kuwa na competitive advantage kwenye eneo laAfrika Mashariki na kwa ubora wa maisha ya wananchi wetu.
4. Tuacheku-copy na kupaste programs za maendeleo ya nchi za wenzetu kabla ya kuangaliamazingira yetu, tunataka nini, na tutafaidika vipi (swala Singapore kujengabandari kila kilometa kumi au tano for that matter halina uhusiano wa moja kwamoja na mazingira ya nchi yetu). Nchi ya Singapore ni tofauti kabisa na sisi,uchumi wake ni tofauti na utendaji wa taasisi zake kuanzia mwanzo ulikuwatofauti pia.
5. Tujitahidikuviimarisha kwanza vile vilivyopo kiufanisi kabla ya kudandia projectsnyingine. Hii itatufanya tuwe competitive, kutumia resources kidogo zilizopo vizuri na kufaidika zaidi. Nina uhakika, kama mpango wa utekelezaji wa upanuzi wa Bandari ya Dar na Mtwara ungefanyika kama ilivyokusudiwa miaka 20 iliyopita ikiwa ni pamoja na uimarishaji wa ufanisi wa reli tungalikwa tunashindana kibishara na bandari bora ukanda wetu kwa sasa.

Huu ni mmoja ya mikataba mibovu tutakayoivunja ndani ya miezi 52 kuanzia leo. So tusihofu sana, kwani kitaalam haiwezekani kuanza ujenzi ndani ya miezi iliyobaki chini ya utawala wa JK.
Rais ajae hata akiwa Riziwani Kikwete atavunja tu mkataba huu. Atatumia hela hizo kuimarisha bandari ya Tanga ambayo tutaitumia kupitishia mizigo ya waganda na wa Sudan ya kusini na sehemu fulani ya Congo DRC. Zinazobaki zitatumika kuboresha bandari ya Mtwara kwani kutakuwa na cargo kubwa ya cement ya Dangote, Aliko, na gas nyingi na makaaa ya mawe ya mchuchuma. Na reli tutaifufua tu kwani ndiyo mambo yanayotakiwa na sio UBINAFSI WA KIKWETE.
 
get the point and discuss and avoid deviating from the point using language used as an excuse.

Hata wewe huna akili pia, imetokea kwamba unajua kiingereza tu, basi, lakini Akili Hauna!

Back
Top Bottom