The Bachelor's Kitchen a.k.a Jiko la msela

images

Non stick cookware, hapo ni sufuria na frying pan ya mayai/chips.

images

Electric Hot pot cooker unapika chochote hapo, ni sufuria na cooker at the same time. Nililitumia sana colleage days.

images

Rice Cooker, unaweza kusteam pia.

prestige5litre.jpg

Pressure cooker, hii ni kwa chakula kigumu kuiva kama maharage na nyama.
 
Ushauri wangu wa mabachelor kwenye mambo ya shuka, kweli sishauri ununue shuka nyeupe unless you're real neat guy kama Bujibuji.

Chengine tafute haya mashuka yanayoitwa fitted bedsheet, zenyewe zinakuwa hivi, maana zina lastic kwahiyo kitanda kinakuwa hakivurugiki unawezajigaragaza still kitu kimetulia. Kwawale wavivu wa kutandika kama mimi lol

DSCF2103%20(1).JPG

Hapa baada ya kutandika

images
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu brothers and sisters

Msaada wa vifaa muhimu vinavyorahisisha kupika kama Rice cooker kwenye wali, pressure cooker kwenye maharage na nyama etc kama kuna vingine mnavijua vimwageni hapa na kazi zake kama vipi tukavisake maana hivi vifaa muhimu especially kwa sisi mabachelor ili tujipige pige tuwe navyo maana kula magengeni napo kunachosha...

Naomba majina ya vifaa vinavyoweza kurahisisha kufanya kazi zifuatazo

1. Kupika supu

2. Kutengeneza mboga ya haraka

3. Na vinginevyo nisivyovijua ambavyo vinarahisisha mapishi hata cha kusonga ugali kama kipo kimwageni..

Ndugu yangu kwa utitiri kama huu wa mahitaji sidhani kama waweza nunua vyote, chagua vya muhimu tu vingine ujufunze kutengeneza mwenyewe vingi vinatumia umeme hivyo itakuwia vigumu kama hakuna umeme na wewe unaharaka ya kutaka chakula.Jifunze sasa kwani haitakuwa ngumu pindi majukumu yanapoongezeka au siku mke hayupo wewe unakarangiza tu!
 
Ushauri wangu wa mabachelor kwenye mambo ya shuka, kweli sishauri ununue shuka nyeupe unless you're real neat guy kama Bujibuji.

Chengine tafute haya mashuka yanayoitwa fitted bedsheet, zenyewe zinakuwa hivi, maana zina lastic kwahiyo kitanda kinakuwa hakivurugiki unawezajigaragaza still kitu kimetulia. Kwawale wavivu wa kutandika kama mimi lol

DSCF2103%20(1).JPG

Hapa baada ya kutandika

images
mhhhh,huo mkono wa shemeji nini?napenda wazungu jamani
 
images

Non stick cookware, hapo ni sufuria na frying pan ya mayai/chips.

images

Electric Hot pot cooker unapika chochote hapo, ni sufuria na cooker at the same time. Nililitumia sana colleage days.

images

Rice Cooker, unaweza kusteam pia.

prestige5litre.jpg

Pressure cooker, hii ni kwa chakula kigumu kuiva kama maharage na nyama.

unajua mambo mengi sana wewe madamex I wish siku moja nikuone
 
Hope it is not too late. Kuna jamaa anauza non stick pan, set ambayo ni nyeusi kote with three silver strips. Box lina rangi nyekundu. Yuko kariakoo, nadhani somewhere near azam, kuna kcb bank somewhere. Anaitwa kasheshe +255 655 434 999. Ukimpigia anafanya delivery unalipia usafiri. Very reasonable price, 2 yrs now hazipauki na ukisonga ugali immediately unaosha na sponge tu.
Kwa experience yangu izi non stick kuzipata hapa bongo, ni almost impossible. Dukani watakwambia non stick, ila ukishaiosha mara chache ile layer ya juu inachubuka na ndio imetoka. real non stick haitakiwi kuchubuka kiiyo.
King'asti kama unajua zinapopatikana, naomba nielekeze tafadhali.
 
Back
Top Bottom