The Atheists Paradox

The Atheists Paradox

Jesus has no God. Jesus is God.

Jesus is not God. You know that very well.

"But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.

Kwa nini unadanganya kondoo za bwana?

Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one.
Hear, Israel: Yahweh is our God; Yahweh is one:

Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lamasabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

'
I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'"

Can you answer now? What name did Jesus call his God in Aramaic or Hebrew?
 
Mungu kwa Aramaic ni Il ....

Kwa taarifa yako Yesu ndie Mungu hivyo kuwa makini unapomtaja ...!!

Hapa Yesu alikuwa anaomba msaada kutoka kwa nani?
Jesus shouted in a loud voice, saying "Eli Eli lama sabachthani?" which is, "My God, my God, why have you forsaken me?" Mark 15:34.

Je Yesu alijisahau/ alisahau kuwa yeye ni Mungu?

Ndio hutaki kujibu au hujui jibu? Mungu wa Yesu anaitwa vipi kwa Aramaic na Hebrew?
 
It is philosophically impracticable to be a non theist; since to be a non theist you must have adequate lowdown in order to know that there is no God and or no deity exist, inter-alia, to be sure about saying "God does not exist", you have to have infinite knowledge. Saying so, to have infinite erudition knowledge, a non theist would have to be God him/her/-self. It’s a paradox to be God yourself and a non theist at the same time!

Wherefore, I would extend this by saying non theists rather than know God doesn't exist they in fact BELIEVE God doesn't exist, although they do not have evidence of their belief. Accordingly, this produces a problem since non theists defend their beliefs and condemn those of religion and or faith in God by saying religion is just a belief where as non theism is....???

Non theist Paradox

duh..! Leo nimeingia choo cha walevi!
yaani thijaelewa hata neno moja kidhungu noma.!
ila nahithi hii poshiti wanamjadili naniliu yule aliyevuliwa uanachama akaamua kuhamia hiki chama kipya kinaitwaje vile?!
 
Jesus is not God. You know that very well.

"But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.

Kwa nini unadanganya kondoo za bwana?

Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one.
Hear, Israel: Yahweh is our God; Yahweh is one:

Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lamasabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

'
I am ascending tomy Father and your Father, to my God and your God.'"

Can you answer now? What name did Jesus call his God in Aramaic or Hebrew?
Hivi Rais Kikwete akimwita Obama huwa anasemaje kama sio Mheshimiwa Rais Obama? Sasa inamaana Kikwete anapo Muita Obama Rais inamfanya Kikwete kuto kuwa Rais? ZAIDI YA HAPO, HAKUNA sehemu hata moja kwenye hizo aya YESU KAUKANA UUNGU WAKE.

Pole sana kijana mwenye kutumia akili za Madrassa kufikiria.

Yesu ni Mungu na anaweza kuonyea na Baba yake kama Baba au Mungu. Yesu kama Binadamu anaweza kumuita Baba yake Mungu, inter-alia, Yesu kama Mungu anaweza Muita Baba yake Baba. ALLAH SIO BABA na wala hakuwai kuwa BABA.
 
duh..! Leo nimeingia choo cha walevi!
yaani thijaelewa hata neno moja kidhungu noma.!
ila nahithi hii poshiti wanamjadili naniliu yule aliyevuliwa uanachama akaamua kuhamia hiki chama kipya kinaitwaje vile?!
I have no idea what are you talking about. Certain threads are for thinkers.
 
Hivi Rais Kikwete akimwita Obama huwa anasemaje kama sio Mheshimiwa Rais Obama? Sasa inamaana Kikwete anapo Muita Obama Rais inamfanya Kikwete kuto kuwa Rais? ZAIDI YA HAPO, HAKUNA sehemu hata moja kwenye hizo aya YESU KAUKANA UUNGU WAKE.

Pole sana kijana mwenye kutumia akili za Madrassa kufikiria.

Yesu ni Mungu na anaweza kuonyea na Baba yake kama Baba au Mungu. Yesu kama Binadamu anaweza kumuita Baba yake Mungu, inter-alia, Yesu kama Mungu anaweza Muita Baba yake Baba. ALLAH SIO BABA na wala hakuwai kuwa BABA.

Kwa hiyo unasema kuna "Mungu Obama" na "Mungu Kikwete"?
Hao watakuwa Mungu ngapi?

Hivi wewe unaamini kuna Mungu zaidi ya mmoja?

Naona umeanza kuweweseka sasa.

Je Yes ana Mungu wake au hana?

  • Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lamasabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

    Ataukana vipi uungu wakati hakuwa na uungu? Wewe vipi?

Nani alisema maneno haya?

Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.
SAFI SANA. SASA ENDELEA MPAKA AYA YA 5 nikutoe nishai.

Ngoja niziweke aya zote hapa:

Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

SASA MASWALI YALIO ENDA SHULE YANAANZIA HAPA:
Aya ya 5 NUKUU: Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

ARGUMENT
1. Yesu anadai kuwa aliishi kabla ya ulimwengu kuumbwa.
2. Yesu anadai kuwa anautukufu kama wa Baba yake.
3. Wewe unakiri kuwa Baba yake ni Mungu.
4. Wewe unakiri kuwa Yesu katumwa na Baba yake aliye kuwa naye kabla ya ulimwengu kuumbwa.

SASA BASI:
1. Yesu ni nani mpaka adai utukufu kama wa Mungu?
2. Yesu ni nani mpaka aseme kuwa aliishi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu?
3. Ni nani mwenye haki ya kupata Utukufu wa Mungu isipokuwa MUNGU?
 
Kwa hiyo unasema kuna "Mungu Obama" na "Mungu Kikwete"?
Hao watakuwa Mungu ngapi?

Hivi wewe unaamini kuna Mungu zaidi ya mmoja?

Naona umeanza kuweweseka sasa.

Je Yes ana Mungu wake au hana?

  • Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lamasabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

    Ataukana vipi uungu wakati hakuwa na uungu? Wewe vipi?

Naona unaanza kukimbia madai yako taratiiiib. Tutafika tu ndugu.

SASA NARUDI KULE KULE: Kikwete anapo Muita Obama "Mtukufu Rais Obama" inamaa Kikwete anakuwa sio Rais?

Jibu swali.
 
Hivi Rais Kikwete akimwita Obama huwa anasemaje kama sio Mheshimiwa Rais Obama? Sasa inamaana Kikwete anapo Muita Obama Rais inamfanya Kikwete kuto kuwa Rais? ZAIDI YA HAPO, HAKUNA sehemu hata moja kwenye hizo aya YESU KAUKANA UUNGU WAKE.

Pole sana kijana mwenye kutumia akili za Madrassa kufikiria.

Yesu ni Mungu na anaweza kuonyea na Baba yake kama Baba au Mungu. Yesu kama Binadamu anaweza kumuita Baba yake Mungu, inter-alia, Yesu kama Mungu anaweza Muita Baba yake Baba. ALLAH SIO BABA na wala hakuwai kuwa BABA.

Mifano ya kipuuzi mara zote hutoka kwa mtu asie na elimu.

sasa hapa umeandika utumbo wa namna gani tena?

Teh teh teh teh.
 
Kwa hiyo unasema kuna "Mungu Obama" na "Mungu Kikwete"?
Hao watakuwa Mungu ngapi?

Hivi wewe unaamini kuna Mungu zaidi ya mmoja?

Naona umeanza kuweweseka sasa.

Je Yes ana Mungu wake au hana?

  • Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lamasabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

    Ataukana vipi uungu wakati hakuwa na uungu? Wewe vipi?

ASILIA MBILI YA YESU KRISTO "MUNGU NA BINADAMU"
Tokea Dunia ianze, hapajawai toke Mtu yeyote alieishi kama Yesu Kristo. Yesu ni mtu wa maana sana ambaye ni Mwokozi, Mungu katika Mwili "Emanueli" (Isaya 9:6). Yesu sio Nusu Mungu na Nusu Binadamu kama watu na au imani nyingi zinavyo sema.

Yesu yeye ni Mungu na ni Binadamu kwa wakati mmoja. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asilia Mbili tofauti ambazo ni Mungu na Binadamu kwa wakati mmoja. Biblia inasema kuwa, Yesu ni "Neno" ...

Continue Reading HAPA
 
Mifano ya kipuuzi mara zote hutoka kwa mtu asie na elimu.

sasa hapa umeandika utumbo wa namna gani tena?

Teh teh teh teh.
Wewe bado sana. Hata ukijigeuza kama kinyonga mara ngapi, bado harufu yako inakufuata. Naona unajitahidi sana kuto ropoka lakini wapi. Pole sana kijana. Hii elimu hupati Msikitini.
 
SAFI SANA. SASA ENDELEA MPAKA AYA YA 5 nikutoe nishai.

Ngoja niziweke aya zote hapa:

Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

SASA MASWALI YALIO ENDA SHULE YANAANZIA HAPA:
Aya ya 5 NUKUU: Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

ARGUMENT
1. Yesu anadai kuwa aliishi kabla ya ulimwengu kuumbwa.
2. Yesu anadai kuwa anautukufu kama wa Baba yake.
3. Wewe unakiri kuwa Baba yake ni Mungu.
4. Wewe unakiri kuwa Yesu katumwa na Baba yake aliye kuwa naye kabla ya ulimwengu kuumbwa.

SASA BASI:
1. Yesu ni nani mpaka adai utukufu kama wa Mungu?
2. Yesu ni nani mpaka aseme kuwa aliishi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu?
3. Ni nani mwenye haki ya kupata Utukufu wa Mungu isipokuwa MUNGU?

Kabla ya ulimwengu kuwepo kulikuwa na Mungu mbili? Huo utukufu alokuwa nao aliupata kutoka wapi?

Wakati anasema For I did not speak on my own, but the Father who sent me commanded me to say all that I have spoken.

Last edited by a moderator:
ASILIA MBILI YA YESU KRISTO "MUNGU NA BINADAMU"
Tokea Dunia ianze, hapajawai toke Mtu yeyote alieishi kama Yesu Kristo. Yesu ni mtu wa maana sana ambaye ni Mwokozi, Mungu katika Mwili "Emanueli" (Isaya 9:6). Yesu sio Nusu Mungu na Nusu Binadamu kama watu na au imani nyingi zinavyo sema.

Yesu yeye ni Mungu na ni Binadamu kwa wakati mmoja. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asilia Mbili tofauti ambazo ni Mungu na Binadamu kwa wakati mmoja. Biblia inasema kuwa, Yesu ni "Neno" ...

Continue Reading HAPA

Wewe unajua kuweweseka.

Yesu sio nusu Mungu wala robo Mungu. Ni binadamu, tena mtoto wa Mariamu.

Uungu na ubinadamu kuwa pamoja ni kitu kisichowezekana badugu! Hizo kitu ni mutually exclusive.

Ni lazima uwe una Upaulo kichwani kuamini fiction ya uungu na ubinadamu unamilikiwa na mpiga mayowe, "Mungu wangu umenishahau?"

Eli, Eli, lama sabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

Dude, you can't just make things up.
 
SAFI SANA. SASA ENDELEA MPAKA AYA YA 5 nikutoe nishai.

Ngoja niziweke aya zote hapa:

Yohana 17: 3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue Wewe uliye Mungu wa pekee, wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.4 Nimekutukuza Wewe duniani kwa kuitimizaile kazi uliyonipa niifanye. 5 Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

SASA MASWALI YALIO ENDA SHULE YANAANZIA HAPA:
Aya ya 5 NUKUU: Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele Zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na Wewe kabla ulimwengu haujakuwako.

ARGUMENT
1. Yesu anadai kuwa aliishi kabla ya ulimwengu kuumbwa.
2. Yesu anadai kuwa anautukufu kama wa Baba yake.
3. Wewe unakiri kuwa Baba yake ni Mungu.
4. Wewe unakiri kuwa Yesu katumwa na Baba yake aliye kuwa naye kabla ya ulimwengu kuumbwa.

SASA BASI:
1. Yesu ni nani mpaka adai utukufu kama wa Mungu?
2. Yesu ni nani mpaka aseme kuwa aliishi hata kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu?
3. Ni nani mwenye haki ya kupata Utukufu wa Mungu isipokuwa MUNGU?

Hii inaitwa kulazimisha hoja. Tena unalishia maneno ambayo sijasema.
Kama nimekiri hivyo basi ni kuwa wewe unakiri kuwa kuna Miungu miwili.
Je unaamini kulikuwa na Miungu mbili kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu?

Unafikiri ushirikina ni kitu kizuri?

Hivi wewe unaamini kuna Mungu/Miungu mingapi?

Hadithi hadithi Baba na mwana walikuwa pamoja tokea mtoto hajazaliwa.
Wale wa Mirembe wanasingiziwa tu kuwa wana matatizo kama ndio hivi unavyoamini.
 
Kwahiyo Yesu hakutumwa bali alijituma. HUU SASA NI MSIBA KWAKO.

JIBU SWALI: Yesu alitumwa au alijituma?
 
Naona unaanza kukimbia madai yako taratiiiib. Tutafika tu ndugu.

SASA NARUDI KULE KULE: Kikwete anapo Muita Obama "Mtukufu Rais Obama" inamaa Kikwete anakuwa sio Rais?

Jibu swali.

Huu mfano wako kwa hakika ni katika kuishiwa na hoja.

Unataka kusema Mungu mmoja anamwita Mungu mwengine mungu?

Hao ni Miungu miwili.
Sasa hoja yako ni kuwa kuna Miungu miwili au?

Je kwa mamtiki yako hii pia unakubali na kukiri kuwa Obama ni mtu anaejitegemea na hana uhusiano wowote na Kikwete. na kikwete ni mtu anaejitegemea akiwa hana uhusiano wowote na Obama kimamlaka au kwa kuzaliwa? Ni watu wawili tofauti?. Si mwana au baba wa mwengine kati yao.?Kila unapojifanya mjanja, unajizidishia ucomedy tu.

Pale ukweli unapokufuata Ishmael ukubali tu au endelea na kufuru.
 
Wewe unajua kuweweseka.

Yesu sio nusu Mungu wala robo Mungu. Ni binadamu, tena mtoto wa Mariamu.

Uungu na ubinadamu kuwa pamoja ni kitu kisichowezekana badugu! Hizo kitu ni mutually exclusive.

Ni lazima uwe una Upaulo kichwani kuamini fiction ya uungu na ubinadamu unamilikiwa na mpiga mayowe, "Mungu wangu umenishahau?"

Eli, Eli, lama sabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?

Dude, you can't just make things up.
NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ILIYE MTUMA
Ndugu wasomaji,
Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza?
...Continue Reading HAPA
 
Huu mfano wako kwa hakika ni katika kuishiwa na hoja.

Unataka kusema Mungu mmoja anamwita Mungu mwengine mungu?

Hao ni Miungu miwili.
Sasa hoja yako ni kuwa kuna Miungu miwili au?

Je kwa mamtiki yako hii pia unakubali na kukiri kuwa Obama ni mtu anaejitegemea na hana uhusiano wowote na Kikwete. na kikwete ni mtu anaejitegemea akiwa hana uhusiano wowote na Obama kimamlaka au kwa kuzaliwa? Ni watu wawili tofauti?. Si mwana au baba wa mwengine kati yao.?Kila unapojifanya mjanja, unajizidishia ucomedy tu.

Pale ukweli unapokufuata Ishmael ukubali tu au endelea na kufuru.
Unaona tatizo la kuwa na akili shoto. Wewe umezoa kukaririshwa kwa bakora. Ukiulizwa wapi ilipo Injir ya Yesu, huna jibu zaidi ya kuweweseka tu.

Ukiulizwa nionyeshe wapi ilipo Taurat ya Musa, unabakia kukimbilia Quran kama vile Quran sasa ni Taurat na imekuwa Biblia "mkusnayiko wa Vitabu"

Nimekupa mfano thabit na umeshindwa kupinga zaidi ya kukiri kuwa huwezi biasha ukweli kuwa Obama ni rais na Kikwete ni Rais.

SASA NIONYESHE WAPI ILIPO Injir ya Yesu na wapi ilipo Taurat ya Musa zinazo daiwa kuteremshwa na Allah wako. Sina muda na aya za Quran maana Quran sio Taurat wala Injir wala Mkusanyiko wa Vitabu "Biblia".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom