The Art of Letting Go. Lessons from 2021

Hahahahaaa, wewe ndio wale mnapenda unconditionaly?

Mimi nilipenda vitabia vyake, sasa sivioni tena nitapenda nini sasa?
Eti siku hizi muda wote hekima na busara eti ni kuongea pointi tu.. Mambo gani sasa hayo?! Anaboa.
Unajua mtu hata akibadilika hawezi kubadilika completely...kuna vitu lazima vitabaki

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada kaamua kunitoa kwenye list ya watakaosoma na kuelewa nini kimeandikwa. Nimeishia kusoma "the citizens" tu ili nipoteze muda mwaka mwingine upinduke.

Hivi we mdada umegoma kabisa kunifundisha kingreza?

Basi happy new year!
 
Wasomaji vitabu ni wengi na wanaojua kikristo ni wengi ila kuna namna kiingereza chake kinanikosha.
Karucee ana uandishi mzuri sana, kama mwandishi wa vitabu. Kwa haraka haraka naamini anasoma vitabu na vilevile ana kipaji cha unandishi na anapenda kuandaa pieces of writing kama hobby. Kwa vitu hivyo viwili naamini vikifanyika kama hobby kuna uhakika wa kuwa mwandishi mzuri kama Dada yetu Karucee
Nakumbuka hata wiki iliyopita alitaka kuandika story fulani nzuri sana lakini akawa ameghairi, sijui kwa nini lakini alianza vizuri sana. Alinivutia kutamani kujua mwendelezo wa uandishi wake.
Happy New Year Mkuu.
Saint Anne
 
Heri ya mwaka mpya pia kwako
Baraka za Mungu ziambatane pamoja nawe katika mwaka huu 2022.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom