The Art of Letting Go. Lessons from 2021

Nikionaga uzi wa kingereza bichwa linauma na hii degree yangu ya soshioloji
People using to die in ze reki sio?
Hauko peke yako mkuu walikuwepo wenye pi hech dii za korosho, kina profesa ndani kwako wote hao kikristo ni changamoto.
Kwa hio mkuu wala usijione mnyonge.
 
ngoja aje akukute umetukana kwenye uzi wake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Karucee siku hizi amepoa sana, sijui ni nini, aidha amekua sana, ama mabadiliko ya mitazamo, au mambo mengine mengi hatuwezi jua, I was her fan and follower, i used to like her much!

This is not the Karucee we used to like and love, Please God bring back our Karucee!
 
amekuwaje kwani mbona mimi naona yuko vilevile tu ila kuna tujimambo amepunguza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
amekuwaje kwani mbona mimi naona yuko vilevile tu ila kuna tujimambo amepunguza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
JF siku hizi inapoteza ladha kwa kasi sana, kuna key members wengi wanaitelekeza(abandon) na wengine wanaendelea kubaki lakini katika hali ya kupoa sana, mmoja wapo karucee.

Huyu si tu kapunguza tujimambo, she has radicaly changed, kama ulivyosema kwenye post kwamba ninatukana kwenye uzi wake ngoja anikute ni kweli, ilikuwa ukitukana kwenye anga zake hutoboi, yaani mbio zitakuokoa, alikuwa aina ya mwanamke ambaye hachelewi kukuonyesha dole la kati ukimletea upuuzi..

Apart from other diverse habits, she is no longer vulgar, sijui ameokoka siku hizi, labda mambo ya ndoa, au ukute ni majukumu yanamkipu bize maanake hata kuchangia ama kuweka nyuzi amepunguza sana, mimi na wewe hatuwezi jua..

Otherwise, sijamaanisha kwamba alikuwa ni mtu mkorofi hapana, was very caring, very understanding, very attentive and even empathive, that is the reason i used to love her very much..
 
Endelea kumpenda hata alivyo sasa ...wa zamani alishaenda harudi tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom