The art of creation: simple but very unique

The art of creation: simple but very unique

FB_IMG_1747966393837.jpg
 
Kwenye ubunifu wa majumba,bustani mpaka ndani ya nyumba,Watanzania tupo nyuma sana.

Mpaka Leo mafundi vitanda design zao ni zile zile,ukija kwa mafundi wa SIDO mashine za kusaga na kukoboa ni zile zile toka mkoloni.😀
 
Back
Top Bottom