The ambassadors of love 1.

The dirt paka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
371
66
"Bwana Mungu akasema, Si Vema Huyo Mtu Awe Peke Yake, Nitamfanyia Msaidizi Wakufanana nae, KATIKA BIBLIA MWANZO 2 :
21.Bwana akamletea Adam usingizi mzito nae akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake, 22.Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamletea Adam....24. Kwahiyo mwanamume atamwacha baba na mama yake nae ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.

BASI KUOA AU KUOLEWA NI MPANGO WA MUNGU.
Lakini sisi tunafanya nini tunapotafuta wenzi?
TUTATAZAMe VISA VYA WANAWAKE NA WNAUME WANAPOTAFUTA WENZI HUTAZAMA NINI KWAUFUPI.
Naanza na kisa cha wadada wengi.

Mwanamke anaetaka kuolewa husemasema anataka mwanaume mwenye mwili aliyejazia/baunsa.

SWALI JE HUWA ANATAFUTA
MUME AU SECURITY GUARD?. Itaendelea..........
 
(Dirt Paka naomba huwe na fikira Pevu kwani hayo maneno uliyo yanukuu yanatoka kwenye Biblia ambayo tunadai ni Maneno ya Mungu wakati Biblia iliandikwa na kuchambuliwa na Wakotoliki zama hizo hivyo ukweli Mwingi uliondolewa ndani yake! Kagua Imani yako na unacho amini na unaweza kushangaa kwa kujua ukweli mkubwa ndani ya hizi taasisi za dini ambazo zimetufunga sana! Angalia usihemkwe kwa hasira wala chiki unapotafutwa ukweli wa maandiko hayo. Kibaologia binadamu ni miongoni mwa viumbe wanaotakana na mabadiliko ya Maumbile kwa miaka milioni kadhaa iliyopita na wamekuwa wakizaana kama viumbe wengine na hakuna ukweli kuwa wameumbwa! Hebu nenda pale maternity wodi ya muhimbili kuhakiki ukweli halisi na usitoe porojo...nawasilisha!
 
Aura reader mi naamini Mungu ndiye aliniumba mimi na kila kitu, Mungu ndiye chanzo cha kila kitu, Hebu jiulize ni miaka mingapi imepita na hatuoni masokwe na manyani mengine yakibadilika kuwa watu.
 
Ofcourse aliyejazia ndo mpango mzima sasa aliyechoka choka wa kazi gani?
 
Kama we ni kimodo kama mimi endelea kujifaji na maandiko mkuu, ipo siku utampata wako..
 
Waungwana mbona mi najua mume au mke aweza kuwa yeyote akuridhishae machon na rohon ila wapo wenzetu wanavigezo kama file la sheria
 
Aura reader mi naamini Mungu ndiye aliniumba mimi na kila kitu, Mungu ndiye chanzo cha kila kitu, Hebu jiulize ni miaka mingapi imepita na hatuoni masokwe na manyani mengine yakibadilika kuwa watu.
Sijasema kuwa binadamu alikuwa Sokwe zamani ila kama Viumbe wengine amepitia mabadiliko mbalimbali kuanzia ya Kiakili mpaka ya Kimwili! Fanya utafiti kuhusu hili na utathibitisha na Pia kwa Mungu unayemuamini kuna siku utagundua kuwa ulikuwa unamwamini MUNGU ambaye siye! Anza kujikagua kwanza kuanzia hisia zako, Mwili wako na fikira zako na ujiulize ulizaliwa (umezaliwa na wala hukuumbwa kama unavyodhani) zikiwa hivyo zilivyo leo au zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa kujifunza? Nitakupa mfano: Toka ulivyozaliwa Mwili wako wenyewe umepitia hatua za mabadiliko mbalimbali kibaojia kuanzia kunyonya, kuota meno kutambaa, kutembea, kuongea kutokana na mazingira ulimokulia na kadhalika! Je hata hili ni umu kwako kuelewa?
 
nadhani bado sijakuelewa ni nini unamaanisha yaani hakuna Mungu au kuna Mungu mwingine wakweli unaemjua wewe?
 
kwani hamna sungusungu wa ulinzi au kampuni za ulinzi?ukishindwa si unafuga mbwa.
Pesa kwanza hayo mambo mengine ya mapenzi,uzuri handsome boys etc ukiishakuwa na mipesa yanakuja tu.
Kwenye ndoa kina dada hutaka mi baunsa on bed na millionaires at home.
So get married to a millionaire and you will get any baunsa but not the opposite.

Wewe kaa ukitafuta mi baunsa wakati chakula home shida,utakula mapenzi?
usalama kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom