The agha khan university salary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The agha khan university salary

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana Mnyonge, Aug 29, 2012.

 1. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  wadau habar zenu naomba kujua hwa jamaa wanaitwa agha khan univesity mshiko wao umekaaje kwenye post ya assistant accountant,naombeni kujua wadau bt mnisaidie wadau msinshambulie sana aminia jf the great thinkers
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Dah! Kuna binti mkenya alikuwa anafanya kazi pale nilishapoteza contacts zake too bad! pole
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Assistant accountant mwenye qualification gani?
   
 4. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  mwenye degree kaka
   
 5. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  nashukuru mkuu
   
 6. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa kusema ukweli nawashangaa watu wanaoulizia mshahara wa kazi flani au ofisi flani
  Ningependa kuwashauri kwamba kama huna kazi au una kazi unataka kubadili kazi (ila nashauri usiache kazi kabla ya kupata kazi nyingine)na umeona
  kuna kazi imetangazwa ambayo unavigezo, wewe omba na ukifanikiwa kuitwa kwenye usaili
  nakushauri uende na ukibahatiaka kufaulu na kuajiriwa sasa hapo ndipo kabla ya kuanza kazi hiyoutapewa mkataba
  ambao utaonyesha mishahara pamoja na marupurupu mengine kama yapo,
  Sasa basi kama wewe unakazi yako nyingine utalinganisha maslai na kama yapo vizuri unaikubali mkataba au kama huna kazi na unaona mkataba huo haulipi unaamua kuendelea kukaa bila kazi ukiendelea kutafuta nyingine itakayokuridhisha.
  Kwa uelewa wangu mishahara ya watumishi wa taasisi nyingi ni siri kati ya mtumishi husika na taasisi yenyewe, na
  na kwa uzoefu wangu watu wengi hawapendi kuweka wazi mishahra wanayopokea.
  Na hata seriklini waraka wa mishahara ya watumishi wake unamsisitozo kwamba waraka huu ni siri na hauruhusiwi kuchapishwa kwenye vyombo vya habari.
  Na mwisho kama umeiona kazi ambayo unakidhi vigezo we iombe mambo ya kutaka kujua mshahara wakati hata hujui kama utaipata kazi hiyo
  naona kama ni ulimbukeni, we omba tu mshahara utaujua kama ukifanikiwa kupata hiyo kazi.
  Unaweza kuambiwa kazi flani mshahara wake ni kiasi flani we ukaidisi ukaona ni mdogo wakati kazi hiyo ina marupurupu mengine ambayo hayapo kwenye mshahara kwa mfano trips hata za nje ya nchi za kumwaga ambazo zinakuwa zinalipa kulipo mshahara wa mwisho wa mwezi.
  Enbu acha ushamba wa kutaka kujua mshahara wa kazi ambayo hata unaweza usiipate haitakusaidia kitu!
   
 7. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,715
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  duh!

  assistant accountant, usihangaike mkuu endelea kutumwa hapo ulipo laa kama unataka kuruka moto na kukanyaga majivu haya!
   
 8. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,715
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  alikupiga kibuti nini???
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mstari mmoja tu mshkaji ameuliza wewe umemjibu desa lote hili...?
  jf bana
   
 10. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unakuta shirika au kampuni limeingia ubia, mara nyingi hufanya redundancy na kuajiri watu wengine wenye viwango vya juu kielimu ili kuboresha tija ktk utendaji. Mara nyingi wanaajiri kwa mikataba yenye mishahara ya minono kuliko ya wale waliowakuta kazini na pengine wenye sifa kama hawa waliowaajiri matokeo yake wale wa zamani wanaona kama wanaonewa lakini hawana jinsi, hivi hii ni sahihi? watumie njia gani kujikwamua na uonevu huu? ni kweli mshahara wa mtu ni siri lakini siri ina mwisho na ndio maana polisi hukamata wahalifu ingawa huficha mambo yao. Kama hawawataki wafanyakazi waliowakuta basi wangewapa malipo yao ya redundancy halafu waajiri upya kwa mikataba yao. Nawasilisha...
   
 11. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45

  mzee nimekupata sana kwa maelezo yako but naomba nikuelekeze kitu kitu kimoja even if mshahara ni makubaliano by huwa kuna scale ya mshahara katika hizi taasisi ni mara chache sana ukaenda kupewa mshahara mkubwa katika the same position kucompare na wenzako uliwakuta kwenye the same position wanapata kiasi gan,kitu cha pili muda ni mara na haina haja ya kwenda kwenye interview wakati unajua kabisa mshahara wanaolipa ni mdogo kiasi kwamba hauwez kukubali ,nataka kujua salary yao coz sitaki kupoteza muda wa kusafir kwenda kwenye interview bila kuwa na details za kutosha,kitu kingine inasaidia kufanya maamuzi ya kuenda au kutokuenda ili wengine waweze kupata hiyo nafasi,unaonaje nikienda bila details then nikakuta mshahara n other allowance sio nzur wakti kuna mtu angeweza kwenda na kukubali huo mshahara kama mm nisingeenda?,acha kuwa mbinafsi kaka
   
 12. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekupata ndg, basi acha huo ubinafsi wa kuombaomba kazi wakati unayo, waachie ambao hawana kazi,ambao ni wengi sana mtaani ambao wanashida sana na ajira. Kuna wengine tunawasoma huku jf wanatafuta hata kazi za kujitolea bila kulipwa mshahara ili watengeneze uzoefu na kuondokana na kukaa nyumbani. So nakushauri usiende kaka Subiri kazi zitakazotangazwa na OXFAM GB au TANAPA wao wanatangaza kazi na kuweka mshahara atakaokuwa analipwa mtu atakayefanikiwa kuipata kwenye tangazo lao la kazi.

   
 13. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Agha Khan ya wapi TZ au.....kuwa specific tukusaidie mkuu.
   
 14. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45

  ya tanzania mkuu
   
Loading...