Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
- Thread starter
-
- #61
Unanikumbusha pale ambapo East China juzi tu wamejenga THREE GEORGES project wakidhani ndio mwisho wa mgao wa umeme lakini leo hii wanakosa umeme wakati West China wana umeme hawajui waufanyie nini. Mimi naona Projects za 100MW ni bei nafuu na zinatufaa, cha maana zinapojengwa basi zifanye kazi kweli. Jinsi uchumi utovyokua ni kweli vema project kubwa zaidi zikafikiriwa.
Ili tatizo la umeme liishe, TZ itahitaji vichwa safi na sio CHAMA CHA MAGAMBA - wanaojivua gamba kama si wao kila wapatapo msukosuko.
Mnaongelea ilani za chadema, cha kushangaza ni kuwa kwa nini chadema wasiwekeze kwenye umeme? wanangoja nini? nani aliyewazuia na wao ni chama chenye wafuasi wengi na bajeti nzuri tu wanayo? ya kupewa hapa na serikali na ya kuletewa na chama cha demokrasia cha kikristo cha ujerumani.
Haiingii akilini chama hakina kutekeleza japo kimoja ya wanayoyalalamikia siku zote. Mngeanza kuonesha japo kwenye majimbo yenu ya uchaguzi tu, mkawapa umeme usiokatika saa zote, maji safi kaya zote, shule zilizosheheni waalimu, madawati, vyoo vya kisasa, maabara, mngeweka hospitali za kisasa kwenye jimbo lenu hata moja tu.
Mnabaki kulalama, kususa, kuandamana. Tuonesheni vitu hai ili tujuwe kweli nyinyi ni zaidi ya serikali ya sasa ili tuwape kura zetu haraka haraka. Nani asiyetaka maendeleo? mnatuchosha na mulalama kwenu kusiko kwisha bila kuonesha mfano hata mdogo tu. Bora hata mrema alikwenda kuileta kuileta kampuni ya umeme poa, ingawa haijafanikisha lakini tuliona kawaleta, alionesha jitihada za vitendo na si kulalamika tu saa zote.
Kama uongozi rahisi si tungeona ile hospitali anaeongoza katibu mkuu wenu ikiwa kama mfano wa kuigwa? kiko wapi? ukienda pale ni foleni kuanzia asubuhi mpaka saa kumi jioni lakini ukitoa kitu kidogo unapelelkwa kumuona dokta mbio mbio, au hamlijui hilo? Na ndio katibu mkuu wenu kiongozi wa pale, au kaacha kwa kugombea urais alioukosa?
Eng Nsiande,
Unataka kutuambia proposals ziko wizarani kujibiwa hazijibiwi? If yes then nafikiri akina Zitto watajua lakufanya kwasababu proposal za waziri Ngeleja to me does not make any sense at all!!!! Ngoja nikupe dondoo zake katika hotuba yake namnukuu:-
"
Alitaja miradi 16 akisema ni miongoni mwa ile itakayotekelezwa na Serikali ili kuongeza uzalishaji wa umeme, kupanua na kuboresha njia za umeme, kuendeleza na kupanua miundombinu ya gesi asilia.
Miongoni mwa miradi aliyoitaja Ngeleja ni ule wa mitambo ya kufua umeme ya megawati 100 jijini Dar es Salaam ambao alisema utakamilika Desemba mwaka huu na megawati 60 jijini Mwanza ambao utakamilika Juni mwakani.
Miradi mingine pamoja na muda wa kukamilika kwenye mabano ni Kinyerezi (Dar es Salaam) wa megawati 240 (2013/14), Mnazi Bay (Mtwara) wa megawati 300 (2013/14), Somanga Fungu (Kilwa), megawati 230 (2013/14)Ruhudji, megawati 358 (2015/16).
Mingine ni mgodi wa makaa ya mawe Kiwira (Mbeya) megawati 200 (2013/14), Ngaka wa megawati 400 (2014/15), Mchuchuma megawati 600 (2014/15), Murongo/Kikagati (Kagerea) wa megawati 16 ambao utategemea kukamilika kwa makubaliano kati ya Serikali ya Uganda na Tanzania.
Aliitaja miradi mingine kuwa ni Rusumo (Kagera) wa megawati 63 ambao upo kwenye taratibu za kutafutiwa fedha, Stiegler's Gorge (Pwani) wa megawati 2,100 na Mpanga wa megawati 165 (2015/16).
Pia, aliitaja mingine kuwa ni Rumakali wa megawati 222 (2018), Dar es Salaam-Tanga ambayo ni ya dharura ikijumuiasha Symbion (megawati 112.5), Aggreko (megawati 100), ununuzi wa mitambo itakayofungwa Majani Mapana, Tanga wa megawati 70 na ule wa gesi wa IPTL, Tegeta jijini Dar es Salaam."
Hebu nifafanulie waziri alikuwa anamaanisha kitu gani?
Mdondoaji nice analysis na sio hivyo tu...................................
Matumizi magari ya mawaziri pia yatasaidiwa kupunguza gharama za serikali . Landcruiser V8 linakisiwa kugharimu milioni 250. Kuna wizara zaidi ya 29 ambazo zina mawaziri , manaibu waziri wawili hadi watatu, na makatibu wakuu. Tuchukulie a standard ratio ya naibu waziri mmoja .
250,000,000 x 87 (29 x 3 (waziri, naibu na katibu wake))= 21,750,000,000 (mawaziri hawa wanaweza kukopeshwa hela wanunue magari yao binafsi au watumie usafiri wa jamii au madaladala au mabasi kama nchi za ulaya wanavyofanya) mfano Waziri wa biashara na viwanda Uingereza Vince Cable anaendesha baiskeli kwenda kazini)). Hivyo tunasave:-
21,750,000,000 /1608 = $13,526,119 =13, 526, 119 + $33,344, 582 =$46,870,701 ...........................
Kwa maelezo yote haya siku tutakapo fikia kuwa na umeme wa megawatts 5,000 nchi nzima itakuwa imeuzwa kama Palestine!
It is obvious we are all pissed off.
Pissed off at this situation we are in.
I am tired of kulalamika sababu hali inazidi kuwa mbaya by the day.
Je, what will be the best solution or best way forward out of this mess?
Does anyone know what is the govt short term and long term planning for umeme?
Knowing serikali yetu, wanafanyaga mambo kisirisiri na yakiibuka ndio utasikia mambo ya Richmond/Dowans handover crap.
I honestly feel hopeless and very angry right now for not knowing if things are going to change soon.
At this moment, I really don't want to hear anymore politician, sana sana wabunge, wakilalama kuhusu Ngeleja. I want to hear their solutions.
I want to hear the answers to the following:
1. Is it possible to get at least 300MW within a month?
2. What would be required to make it happen?
3. If the above is not possible how about tax exemptions on generators fuel for all major minings and big factories? (If this is to be allowed, itabidi kuhakikisha anyone who abuse the privilege is fined heavily (such as ananunua kama ya generator but anauza kwenye petro station) mafuta ya mgao yatumike kwa migao tu!
Mdondoaji thanks for good data. Inaudhi kuona jinsi wanasiasa wetu na priorities zao.
Kama kweli wanauchungu wa nchi na wamepata nafasi ili kututumikia sie, basi huu ni wakati wa wao kutuonyesha kwa matendo.
VXs na some posho go to be axed on this budget session!
Total power produced by 15 of these 16 projects is 3024 megawats, that is besides Steigler Gorge which is 2100 megawats alone for the total output of 5124 megawatts by 2016.
THe question is where is the money come from?
Can he list cost of each project and the current stage of the project?
Kujenga mitambo ya kufua umeme zaidi ya matumizi iendane na ukarabati wa miundo mbinu ya kusafirisha umeme,kwani kiasi kikubwa kinapotea njiani, kutokana na uchakavu wa miundo mbinu au ikiwezekana tuanze kujenga smart grid.
Gasi nayozalishwa kwa sasa ni ndogo kutoka kwenye gas processing plant,haitoshi kukidhi mahitaji ya mitambo itayoongezwa na matumizi ya viwanda,hivyo basi inatakiwa kujenga gas processing plant kubwa ili tuweze kufunga mabomba makubwa ya kusafirisha gesi hadi kwenye vinu vya kufua gesi
Geothermal energy is abundant katika Bonde la ufa .Kenya wanatumia nishati hiyo haichafui mazingira na ipo ya kutosha,tulivalie miwani.
Incourage small power generation kwenye sehemu kama vijiji,ili wananchi watokane na hadha ya kukosa umeme.
Power generation kutoka nuklia haitajiki kwa sasa kwanza matumizi yetu hayajafika hata 5000MW,pili safety standard ziko juu sana,kwa nchi yetu ambayo hata kuhifadhi mabomu kwenye ghala ni big issue tuachane nayo.
Mwenyezi Mungu katupa jua linawaka masaa 12 kila siku,mpango makusudi wa kuwezesha kuwavutia wekezaji wa solar power iimarishwe
The Mockingjay,
Most of us have already issued alternative and practical solutions which do not need tume, kamati or uratibu. It simply needs someone to listen, digest, and act to implement a thousand solutions being offered.
However, our government has created a clout of bureaucracy whereas they need time to sit on their asses to figure out what has been presented to them and create a team to examine a solution offered to see if it is a viable solution.
Steigler Gorge project started in 70's during Nyerere's time, it was shot down due to various reasons and we have undergone several planning and project to put it back in action since then.
THe Kikwete government, rather than pickingup what other feasibility studies were done on the SG project, they have decided that they are starting a new mchakato (mind you RUBADA and NDC have already completed their project and all they need is go ahead and funding) to see what we can to do realize the potential of Steigler Gorge as a solution to our electricity crisis!
Then as usual , Mchungaji would ask, what in the heck did Kikwete do in the 6 years as minister at Madini and Nishati? Wasn't he aware of this or put it in the sight of a great project to be executed? If one would ask me at this present day, the changes needed would be the budget and technological portion if there has been an advance methodology in running hydro power plant with the size of Rufiji.
But then if the water levels of Mtera and Kidatu, plus kudura za Mungu hakuna mvua are the case, why not invest to other alternative energy sources such as wind, solar, solid waste and even coal and gas?
How much time do we need for maamuzi magumu kufanyika?
The reluctancy of Kikwete and his administration to pull this one off, validates Lowassa argument that Serikali inaogopa kufanya maamuzi magumu.
Rev Kishoka,
I hear you out mkuu.
What I know about this government is that majority of the folks there are vilaza and not qualified to make some decisions. Especially technical/economical decisions like Steigler Gorge. Kwanza wengi hawana technical background to read and understandd the studies. Wao wanaangalia numbers. Number zinazovutia ni zile wanazoweza pata wao. Also, it is too of a long term and hakuna mlo sababu by the time the project is completed, they will not be in the position kuchuna vyao Kama IPTL, etc.
But maajabu ni kwamba JK was the minister of the very same ministry for 6 whole years. Sure he should know a thing or two to make maamuzi sahihi, but he is not.
I am not sure if the guy is not smart or simply anaangalia maslahi. It has to be one or the other and neither is good.
Back to the 3 questions above. Maji ndio yameshamwagika and we don't have much choice kama ni kweli Mtera and Kidatu will shut down after 60 days as per the Guardian...
1. Can we get at least 300MW substitute in time?
2. What would be required to make it happen?
3. If the above are not possible, can the govt consider tax exemptions on generator fuels for the big mines and factories?
Mkuu,
Kwa nukuu za kitaalamu umeme wa Upepo (windfarm), Solar , Nuclear , renewable na Nishati ya Bahari are extremely expensive kwa nchi yetu ya Tanzania hatuna pesa za kuwekeza huko kama tunataka kupanuka kiuchumi (zaidi gharama za matunzo ndio zinaweza kutumaliza). Umeme wa bei rahisi kwetu ni maji (Hydro), Coal ambao tunaweza kufaidika nao.
.
Mdondoaji,Asante sana kwa majibu yako. Sasa, kwa nini tunateseka bure wakati tunaweza nunua umeme Zambia or Uganda? Je, Zambia na Uganda wana surplus ya umeme? Je, kununua umeme Zambia au Uganda ni bei ya juu zaidi ya kina Aggreko na Jacobsen? Au tatizo hapa na ego za viongozi wetu kuomba kununua umeme kwa jirani?If I was JK, I would examine these options and make a call. We can just buy the damn umeme kwa jirani if it is cheaper then work on implementing Steigler Gorge project once and for all.Mie naomba nafasi nijibu haya maswali:-a. Short term solutions (Umeme wa magenereta (IPTL, Symbion na wengineo), Umeme wa songosongo na pia tunaweza kununua umeme kutoka Zambia na Uganda for 5 years).b. Long term solutions (Tujenge Stiegler gorge, Two more hydro dams na vinu vya umeme wa kutumia makaa ya mawe).Tax exemptions wakati huu wa hali mbaya ya uchumi wa kidunia itakosesha serikali mapato na kuongeza ugumu wa maisha ya mtanzania.