newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,386
- 583
thanks umeniongezea terminology leo writedit is believed these books have caused more death and havoc in the word ,ni bora visingeandikwa na watu kuvisoma duniani.nimejaribu kutafakari hivi kwetu sisi tanganyika ni kitabu kipi kimeleta madhara kitaifa baada ya kuandikwa na kusambazwa,hasa ktk kipindi cha siasa za ujamaa na kujitegemea 10. Malleus Maleficarum 9. Coming of Age in Samoa 8. The Prince 7. Mein Kampf 6. The Pivot of Civilization 5. Democracy and Education 4. Baby and Childcare 3. The Protocols of the Elders of Zion 2. The Manifesto of the Communist Party 1. Darwins Black Box
it is believed these books have caused more death and havoc in the word ,ni bora visingeandikwa na watu kuvisoma duniani.nimejaribu kutafakari hivi kwetu sisi tanganyika ni kitabu kipi kimeleta madhara kitaifa baada ya kuandikwa na kusambazwa,hasa ktk kipindi cha siasa za ujamaa na kujitegemea
10. Malleus Maleficarum
9. Coming of Age in Samoa
8. The Prince
7. Mein Kampf
6. The Pivot of Civilization
5. Democracy and Education
4. Baby and Childcare
3. The Protocols of the Elders of Zion
2. The Manifesto of the Communist Party
1. Darwin's Black Box
Sidhani kama kuna kitabu kuhusiana na lile swala.Kuna documentary tu nadhani.je na kile cha darwins naughty mare kuhusu mapanki
hapo ktk red kinapatikana wapi hiki kitabuUkienda kwa wanasiasa wa Kenya watakuambia kitabu cha devil on the cross-ngugi wa thiong'o
Ukija Tanzania watakuambia kile cha Msemakweli-Mafisadi wa elimu