Thats why? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thats why?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ijuganyondo, Jan 25, 2011.

 1. I

  Ijuganyondo Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wanajf nimerealize kwanini mwl.nyerere alimkatalia kikwete kuwania urais 1995 pale chimwaga,mwl.aliona mbali, hv ingekuwaje kama mkwere angeshika nchi tangu enzi hizo?
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Soma CV ndo utajua.
  why alitolewa ukuu wa mkoa ktk chama na kupelekwa mikoa ya kusini ktk ngazi ya wilaya
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mkuu ebu tumwagie nyepesi nyepesi kuhusu cv yake manake mkwere ana stori kibao huko mitaani.
   
 4. K

  Kide Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mmmh!tena alitupwa hko pande za nachi...ila kwa sasa jamii ishaelemuelewa mwalimu kwa yale maamuzi ya 95
   
Loading...