That's what friends are for Sam

That's what friends are for Sam

Hahahahahaaaaa women are undefinable looh, we case yako imeishaje? ulianzaje kumweka pembeni? elezea pls
Hapo nakuunga mkono!!
Sijui nianzie wapi!!!!....ila nlimpenda sana G, at first nlimchukulia so simple maana i treated her like my friend, tuliendelea...siku na miezi ikapita!!! ndipo nikaja gundua i was fallin!!! sio siri sikujua ilianzaje ila mpaka sasa najua ilivyoishia!!! nlimweleza yangu ya moyoni (hapa ndipo nlipo haribu) iliniuma sana alipokataa na kila kitu kikageuka!!! sio siri nlijiskia vibaya mnoooo!!! sikukata tamaa nliendelea kuwa karibu nae hasa kimawasiliano. Ikafika point akawa hana time na mimi tena hasa alipojiunga na chuo!! ukimya wake ulikua msumari kwangu!!!

Siku wiki zikapita, kidogo nikaanza mtoa mawazon, nkaanza kuwa busy na yangu!!! mara kadhaa alikua ananiomba msamaha(japo sikuelewa alikua anamaanisha nini) kwa kuwa so rude kwangu hasa akisema alicheza na hisia zangu, japo mpaka leo sijaona msichana nliyependa kama G ila nlikubaliana na ukweli na ku move on!!! To some point naeza sema nlikua kama sam wako kwake japo hatukua wote chuoni, i gave my all to her!!! kuna kitu kila siku kinaniambia nirudishe majeshi na mda huo huo kuna kitu kinaniambia NO!! kamwe sintomshau huyu G na sintosahau chochote toka kwake, na nitakua mwongo nsipokiri bado na m feel japo sikua na jinsi zaidi ya ku move on....
 
Yaani so touching.... U know what, men like u are so lovable ila ndo hivo mnajikuta mnapenda unlovable. Poleee ila I have the feeling mtarudiana na G, wish nimtafute poppet G alipo aje akuombe radhi muyaendeshe maisha especially kama wote bado mko single. Ikiwezekana hata harusi yenu niisimamie.
Mtafute G bana muanze urafiki upya, this time hatachomoa coz nae ashaumizwa huko aliko, atakupenda for real nakwambia hatataka kukupoteza.
Wish u look may the two dove fly over u and G.
 
Kasie hebu mwonjeshe af tupe feedback😀😀😀 if he is really energetic!!!

Nikimwonjeaha atanogewa ngoja nione kama niseme YES or NO kisha ntawapa feedback.
 
Salamu ntazifikisha hahahahahaaaa he has his principles and what he believe is wherever I go I am for him and I'll be back to him and he is waiting..... Sometimes hadi huwa nachoka na misimamo yake.
You see?? Hapa ndipo sitamsamehe dogo Sam..... Yani keimamae zake sana yani....

Sam wa wapi huyu? Anakula maharage ya wapi huyu??
 
Yaani so touching.... U know what, men like u are so lovable ila ndo hivo mnajikuta mnapenda unlovable. Poleee ila I have the feeling mtarudiana na G, wish nimtafute poppet G alipo aje akuombe radhi muyaendeshe maisha especially kama wote bado mko single. Ikiwezekana hata harusi yenu niisimamie.
Mtafute G bana muanze urafiki upya, this time hatachomoa coz nae ashaumizwa huko aliko, atakupenda for real nakwambia hatataka kukupoteza.
Wish u look may the two dove fly over u and G.

Umenifurahusha sana Kasinde !!as a matter of fact, nshakua katika relationship kipind flan baada ya kuzinguliwa na huyu G, ila nlijikuta mwenyewe siez endelea hasa ukizingatia sikua na m feel the way i felt to G!!! And guess what happened...tuliachana(japo iliniuma ila skua na jins maana siez igiza).

Kwangu ilikua ni njia sahihi maana skutaka nije ni muumize badae mtoto wa watu!!! Na hapa ndipo nlipoamini siez mpenda msichana kama nlivyo mpenda G no matter how hard i tried!!!

I asked myself several times, why was she asking forgiveness for being rude to me?? Yea tunawasiliana...na several times she told me tht she missed me!!! U know what its kinda hard for me...i guess am in dilema..but the truth is i missed her too..always!! I cant deny the fact that she's still in my mind though I feel like i dnt want to go down that road again!! I leave it to the nature and not me..let it select its beta way!!

May be yuko hapa JF na kama yupo nna uhakika kasoma huu uzi na kama anausoma ajue its LOD...!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani am praying for u two, may the nature bring u to ur destination, may the nature bring u together and start a fresh.
I've start being happy for you, wish u luck best.
G popote ulipo kuja pande za LOD, sijui ni Lodrick....................
 
You see?? Hapa ndipo sitamsamehe dogo Sam..... Yani keimamae zake sana yani....

Sam wa wapi huyu? Anakula maharage ya wapi huyu??

Hhahahahahahhaaaaaaa Babu Sam banaaa aaahahahahahahahhaaaaaaa looh

Sam dogo ana principles kuliko za Archimedes
 
Mie nimempenda sam original bwana.....

Shosti unataka tubanane kwa Sam dogo looh, unanifanya nizidi kujisogeza kwake na kwa mantiki hii Sam atapanda bei muda si mrefu................................
Sasa inabidi Big Sam babu Asprin aingilie kati maana Sam original ...........................
 
Last edited by a moderator:
Yaani am praying for u two, may the nature bring u to ur destination, may the nature bring u together and start a fresh.
I've start being happy for you, wish u luck best.
G popote ulipo kuja pande za LOD, sijui ni Lodrick....................

Hiyo sentens ya mwisho hiyo...na hilo neno la mwisho (actually u get it right)!!! Hehheee si mbaya... and thank u!!! U said uko kwenye trail..ya 3months... Usije mwacha sam jamn...japo the last decision iko kwenu!!! Let me think again about G...and by the way Tunangojea card tuuu!!!
 
Kidooogo kwambali ungemfikia lara1....ila kakuacha sanaaaa.....kama umbali ni hapa na dodoma...ila akisimama miaka mitatu unaweza kumfikia.

Keep it up..
 
Hhahahahahahaaaa Sam, this Sam of mine, yeah after three months will update you, and if there will be invitation cards, u will be in the list.
Kumbe nimepatia eeehhh u have a nice name.
Good day best.
 
Kidooogo kwambali ungemfikia lara1....ila kakuacha sanaaaa.....kama umbali ni hapa na dodoma...ila akisimama miaka mitatu unaweza kumfikia.

Keep it up..

Waacha weeeh, sijui umefikiria nini na sijui umemaanisha nini, wherever but what I know is am not the way u think.
Kasie is Kasie, has never been there before and will never be...
That's it.
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: For Sam..... Kasinde Hyu atakufaa
 
Last edited by a moderator:
Sam jamani haujamwona tu kuwa ameshajirudi!
Changamkia fursa!
 
Abee babu Sam, rabeka Asprin............. umeniita.......
Naam, nimekuita ila sijakusikia ukiitika. Ole wake asiyeitika mwito wa Big Sam.... Nimesema ole wake?

Hhahahahahahhaaaaaaa Babu Sam banaaa aaahahahahahahahhaaaaaaa looh

Sam dogo ana principles kuliko za Archimedes
Archimedes principle?? Really? Inasema.. When a body is totally or partially immersed in fluid (liquid?)... The upthrust is equal or equivalent to the fluid (liquid?) displaced.. Eti Kasie... Squirting inahusika na hii principle??... tell dogo Sam anijibu kama we umeshindwa....

Hommie Kaizer hii mada haihusu chama tafazali.... Private ishuz ziheshimiwe na wanachama wote.

Shosti unataka tubanane kwa Sam dogo looh, unanifanya nizidi kujisogeza kwake na kwa mantiki hii Sam atapanda bei muda si mrefu................................
Sasa inabidi Big Sam babu Asprin aingilie kati maana Sam original ...........................
Hahahaha Big Sam sio fake, ntake radhi... Waeza mtumia Honey Faith kuomba radhi kwa niaba yako.... kama na kama tu huna wivu kiviiiiiilee...
 
Back
Top Bottom