That's what friends are for Sam

That's what friends are for Sam

Ikanitokea club moja mwaka jana December, nimekaa baada ya kutoka dancing floor nakunywa "maji ya Ilala". Ghafla katokea dem mkali anapiga Savana. Akauliza kama kuna Mtu mwingine kwenye seat ya jirani, nikamwambia hakuna kaa tu.

Mara story zikaanza na kuendelea, kumbe katoka kwenye birthday ya rafiki yake na alishapiga kilaji huko na si mzoefu wa pombe (anadanganywa na ladha ya utam wa Savana), na bahati mbaya ni binti mdogo. Kufika saa nane usiku yuko hoii, nikamchukua mpaka kwangu, ile nafika getini karudisha chenji. Imenichukua saa nzima mpaka anaingia kitandani na nguo zake.

Guess what happened? Sikumfanya bana, ingawa naona sasa hivi mazoea kama yamezidi :sad::sad::sad:

Mnhhhh usipeleke stranger nyumbani kwako
akifia nyumbani kwako unaweza ozea rumande
halafu kama hukumgusa ingawa ni sahihi but si ajabu anajiuliza kama uko sawa..
wanawake nao sometimes hawana shukrani
 
Yaani wanaume kama wewe huwa nawapa credit sana kwa kutoka take advantage ya mdada. Halafu wanaume wanaofanyaga hivo wanagain trust sana kwa mdada. Kula big hug best
 
Mnhhhh usipeleke stranger nyumbani kwako
akifia nyumbani kwako unaweza ozea rumande
halafu kama hukumgusa ingawa ni sahihi but si ajabu anajiuliza kama uko sawa..
wanawake nao sometimes hawana shukrani

Wewe ungefanyaje kwa case aliyokutana nayo platozoom
 
Last edited by a moderator:
Mnhhhh usipeleke stranger nyumbani kwako
akifia nyumbani kwako unaweza ozea rumande
halafu kama hukumgusa ingawa ni sahihi but si ajabu anajiuliza kama uko sawa..
wanawake nao sometimes hawana shukrani

Nilimwonea huruma. Ningemwacha na kwa uzuri na mida ile ngekuwa hatari. Ila kutapika mfululizo kulinistua japo sikuogopa, kumbuka na Mimi nilikuwa vizuri kichwani!!

Kwa Nchi kama zetu msichana kulewa ni risk kubwa sana
 
Itaku cost next time
siku hizi wasichana warembo wengi wahalifu
angeweza hata kukuibia au kukuletea majambazi
 
NN how r u pumpkin? Sam has trap me can't get out of the boundaries...

Yani mwanzon ulimwona mjinga leo unasema ana "trap" wasichana bana!!! Anyway thts love...and by the way niko na kesi kama yako na huyo mtu wako!!! Japo nshamweka pemben!!!
 
Hahahahahaaaaa women are undefinable looh, we case yako imeishaje? ulianzaje kumweka pembeni? elezea pls
 
Mh! kwa Kasinde wa jf na crush zake zisizoisha!!! Let go of Sam please.
 
Last edited by a moderator:
chukua hatua, usiandike tu humu haitoshi kumfanya sam atimize malengo yake. and be sure km kweli unampenda au ni feelings za muda tu kutokana na wema aliokutendea. Sam deserves a decent and true love!
 
That is pure love and i am glad that you eventually realised that while he is still single.
 
Back
Top Bottom