Jamani kuna mahara tufike tuseme ukweli huyu jamaa sio handsome na kama umedai hivo basi unamachaguzi mabaya usije ukatumwa kutafutia m2 mchumba ukamletea Bwabwa ....macho yako mwenyewe yanakudanganya au hisia ndo tatzo.... Mbona jamaa kazidiwa uzuri hadi na marehemu kanumba........I am a boy