life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Ya ya yaaaSalaam ,Aa aa..aa. Wewe (hadharatak) Aisee Hatari ivo unamiliki Nuclear Bomu !! wewe angalia utatafutwa kaudi na vumba yake... SiAjabu leo maFBI na maintelejensia watafika mtaani kwenu!! Aiseee hapo nakuogopea BAN na JF.... !! (hiyo furaha yangu)Karibu sana, Maneno ya mwenyezi mungu ni makubwa sana, ndio maana huwa sina muda wa kutaniana na imani za watu. Mimi namuamini mwenyezi MUNGU, Naamini vitabu vyake, Malaika Wake nk.
Kwahiyo hata lolote litakalotokea katika maisha yangu naamini, ni mwenyezi mungu tu, hebu tusogee hapo Al Imraan
YAA MALIKAL MULKI, TUUTIL MULKA MANTASHAAU, WATAANZIUL MULKA MIMAN TASHAAU, WATUIDHU MANATASHAAU, WATUDHILU MANTASHAAU, BIYADIKAL KHAIRU, INNAKA AALA QULI SHAIN QAADIRU
Hapo vipi?
Dokta T
Vipi mkuu naona unapeta ..... weka picha!!
Hakuna kitu kama hicho, mimi mbona raia mwema tuYa ya yaaaSalaam ,Aa aa..aa. Wewe (hadharatak) Aisee Hatari ivo unamiliki Nuclear Bomu !! wewe angalia utatafutwa kaudi na vumba yake... SiAjabu leo maFBI na maintelejensia watafika mtaani kwenu!! Aiseee hapo nakuogopea BAN na JF.... !! (hiyo furaha yangu)
Mkuu Ayat hiyo umemaliza kazi yaani ukigombea Urais 2015 utachukuwa kwa LandSlide!! na kura yangu nakupa!!!!!!
"Wa Man YataqiLaah Yajaal Lahu Makhrajaa Wa YarzuqHu Mina Haithu Laa tahtaseeb"
BarrakaAllahfikum.
Ya ya yaaaSalaam ,Aa aa..aa. Wewe (hadharatak) Aisee Hatari ivo unamiliki Nuclear Bomu !! wewe angalia utatafutwa kaudi na vumba yake... SiAjabu leo maFBI na maintelejensia watafika mtaani kwenu!! Aiseee hapo nakuogopea BAN na JF.... !! (hiyo furaha yangu)
Mkuu Ayat hiyo umemaliza kazi yaani ukigombea Urais 2015 utachukuwa kwa LandSlide!! na kura yangu nakupa!!!!!!
Yenyewe Inaanza,
QULILAHUMMA
Mimi nilianza nayo kwa staili ya dua, kwahiyo usistuke
tyta, umetisha sana
Sheikhuna {nipe jina} Raia mema !!! wewe kuliko hao wemawote.. yaani tukiweka mizani alafu tukapima!! WaTZ wote tuwaweke upande mmoja na wewe tukuweke upande wa pili = Mkuu mbona upande wako utakuwa mzito !!! MashaAllah umebobea ilm el-Kitaab. Harufuee lete maajabu, usitufiche bhanaa acha tufaidike bhanaa!! Sikujua kama JF humu kuna vigogo! "Nee3ma AlMoula wa Nee3ma Alnasir"Hakuna kitu kama hicho, mimi mbona raia mwema tu
Nina mashaka na hii picha, itakuwa imefanyiwa manuva
MaulanaEee njoo tena urudi haraka unipe mazidii...Bado sijashiba!! wewe mzito si wakuchezewa! Bismillaah MashaAllah....Hakuna kitu kama hicho, mimi mbona raia mwema tu
hakika umevumbua hazina nzuri kweli kweli,Allah akbarJamenii eee njooni huku nimevumbua hazina !!!!
Sindo Ubinaadamu tena !! Mkuu sikujua kama wee ni Bahari kuu!! MaShallah...Mzito kweli tufae nasisi kidogo !
I sayeee! huyu ustaadh kiboko!! yaonesha ukiataka maji ya aina zote anayo!!hakika umevumbua hazina nzuri kweli kweli,Allah akbar walilaahi al-hamd..
Hili shirika la ndege la Corsair bana...full sex
Inatosha tusije kuharibu maudhui ya huu uzi, mimi hamna kitu usiogope, sina Elimu wala chochote.MaulanaEee njoo tena urudi haraka unipe mazidii...Bado sijashiba!! wewe mzito si wakuchezewa! Bismillaah MashaAllah....
Babaweeeee! al-mukaram umetawala nchi zote kuanzia Mashariki hadi Magharibi ya kauni hii !! pamoja na hayo umemiliki mali zote za Firauni na Hamani na karuni lool mkuu....umejaaliwa kweli alafu wasema huna chochote!! MaShallah hazina yote hiyo na bidhaa adimu unamiliki kulikoni!! Waonekana mtu humble na mutawadhe3... Yaani umeshehena makontena ya high profile tech!! Wallah hakuna wa kukusogelea ! Hapohapo leo hakuna wakuondoka kwenye uzi huu!1mambo matamu na mazuri ... nakutakia hadhii njema na maridhawa.AMIN pokea zawadi yako hii Yasin *{ idhaa arada shayun ana yaqulalahu kun faya kun FaSubuHana Ladhi Biyadihi malakuti kulu Shain Wailayhi Turajaoun }* Jazzakallah kheyrn.Inatosha tusije kuharibu maudhui ya huu uzi, mimi hamna kitu usiogope, sina Elimu wala chochote.
Labda tukumbushane hizi pumzi zetu zinazotudanganya kiasi kwamba tunajisahau
Tuendelee aya ya 27, hapo hapo Al Imraan
TUULIJU LAILA FII-NAHAARI, WATUULIJU NAHAARA FII LAYLI
WATUKHRIJUL HAYA MINAL MAYIT, WATUKHRIJUL MAYTA MINAL HAYI
WATARZUQU MAN TASHAAU BIKHAIRI HISAABI
Babaweeeee! al-mukaram umetawala nchi zote kuanzia Mashariki hadi Magharibi ya kauni hii !! pamoja na hayo umemiliki mali zote za Firauni na Hamani na karuni lool mkuu....umejaaliwa kweli alafu wasema huna chochote!! MaShallah hazina yote hiyo na bidhaa adimu unamiliki kulikoni!! Waonekana mtu humble na mutawadhe3... Yaani umeshehena makontena ya high profile tech!! Wallah hakuna wa kukusogelea ! Hapohapo leo hakuna wakuondoka kwenye uzi huu!1mambo matamu na mazuri ... nakutakia hadhii njema na maridhawa.AMIN pokea zawadi yako hii Yasin *{ idhaa arada shayun ana yaqulalahu kun faya kun FaSubuHana Ladhi Biyadihi malakuti kulu Shain Wailayhi Turajaoun }* Jazzakallah kheyrn.
Al-3aafu !! tusameheane .....Ahsante sana, ila naomba usinipe daraja ambalo sina, mimi sina ELIMU
Halafu nilisahau kukuomba msamaha ile siku, kwa kweli ulipoleta jina la ule uwanja(ST MARTIN PRINCESS JULIANA INTERNATIONAL AIRPORT), baadae siku ile kwa muda wangu nikaangalia ni kweli kabisa, ulikuwa sawa. Si unajua teknolojia utundu mwingi, ila naomba unisamehe sana. Kwa kweli mimi ndio mara yangu ya kwanza kusikia jina la uwanja huo.
Nashukuru sana, nimejifunza kitu hapa. Kweli penye wengi pana mengi. Na ninaamini kila siku zinavyoenda nitakuwa najifunza jambo moja hadi jingine, Inshaallah