Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,447
- 8,419
Mkuu, hiyo airport ipo katika visiwa vya St.Martin yaitwa Princess Juliana int'l airport " Most Dangerous Airports in the World "Nina mashaka na hii picha, itakuwa imefanyiwa manuva
Safi mkuu !!
Afadhali umbali huu, kuliko hapo pa Air FRANCE, ipo chini sanaMkuu, hiyo airport ipo katika visiwa vya St.Martin yaitwa Princess Juliana int'l airport " Most Dangerous Airports in the World "
je hii ipojee? ni hapohapo tuu mkuu marubani wanauzoefu wakutosha....Afadhali umbali huu, kuliko hapo pa Air FRANCE, ipo chini sana
je hii ipojee? ni hapohapo tuu mkuu marubani wanauzoefu wakutosha....
ona hii yakaribu !
Mkuu hiyo huwaga fun!! ukweli na uhakika yaani moja wapo ya furaha kusikia mlioo na mtetemeko!!!Nakataa, angalia huyo aliesimama juu ya kichuguu, wewe ule mtetemeko/mtikisiko wa ndege inapokuwa karibu kiasi hicho, wewe usimame juu ya kichuguu?!
Asante sana, raha jipe mwenyewe, maisha yenyewe mafupi, nimekupata vizuri sanaMkuu hiyo huwaga fun!! ukweli na uhakika yaani moja wapo ya furaha kusikia mlioo na mtetemeko!!!
ona Airport ingine ipo katikati ya jiji....
hii quoting yako imenifurahisha zaidi!Asante sana, raha jipe mwenyewe, maisha yenyewe mafupi, nimekupata vizuri sana
hii quoting yako imenifurahisha zaidi!
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia
kila la kheri...kwako.<!-- google_ad_section_end -->
uhakika wa maneno yako nimeipenda..kwani Afya ni utajiri mkubwa,Kweli, kwanini ?
uhakika wa maneno yako nimeipenda..kwani Afya ni utajiri mkubwa,
Na zaidi ulipo mshukuru Muumba hapo umemaliza sifa zote duniani.... !! Kuna Ayat isemayo " La'in Shakartum La'Azidanakum " (mkinishukuru ntawazishieni).... ona truth vipi!
Jamenii eee njooni huku nimevumbua hazina !!!!INNA HADAINAHU SABYIILA , IMMAA SHAKIIRA , WAIMMAA KAFUURA
Mna nini hapo tena?
Jamenii eee njooni huku nimevumbua hazina !!!!
Sindo Ubinaadamu tena !! Mkuu sikujua kama wee ni Bahari kuu!! MaShallah...Mzito kweli tufae nasisi kidogo !