ah! mshana jr, lakini zinaeleweka... wajua nini sababu kubwa? ni kwamba kama vile tunavyokuwa shule ukiwa ukomai sana hata kwenye pepa hukai sana sababu huna vitu vingi vya kuandika....
Pale stendi kama unaenda kwenye mabasi ya Moshi ukikata upande wa kulia zile hotel zinazomilikiwa na mtu mmoja, bei yake bado elfu hamsini?Hahahahaaa haya mkuu ila natamani kukutana na na wanaJF wa A-Town niko hapa picnic
Pale stendi kama unaenda kwenye mabasi ya Moshi ukikata upande wa kulia zile hotel zinazomilikiwa na mtu mmoja, bei yake bado elfu hamsini?