Mh! Ngoja nikuitie mtu... mshana jr njoo huku kuna mtu anataka kuchorwaa...3D Tatoo, mie napenda kuchorwa tatoo ya hela ya noti kiunoni na iwe ya 3D
Tokea nilipojiunga nilikuwa nikifuatilia wachangiaji tofauti tofauti, lakini Uchangiaji wako ni wa kipekee sana, mfupi na wenye kueleweka na kisha ni wa aina ya kipekee
Inakupendeza sana ile uliojipumzisha kwenye fridge, hebu irudishe kwanza mkuuHahahahah...nilijua peke yangu lol
Inakupendeza sana ile uliojipumzisha kwenye fridge, hebu irudishe kwanza mkuu