Thanx to mobile tracker,found back my phone

mkuu kuna tracker ya bure tuelekeze wanadownload kivipi na je za mchina nazo zinadownload na tukijaribu azina madhara zisije zima kabisa zikahisis tunaingiza virus

mkuu kuna tracker ya bure tuelekeze wanadownload kivipi na je za mchina nazo zinadownload na tukijaribu azina madhara zisije zima kabisa zikahisis tunaingiza virus
Mkuu Simu za lg, samsung, vodafone nk zinakuja na hii appl inategemea simu gani unayo mkuu, simu kama nokia utaipata ovi store. symbian s60 kuna mdau hapo juu ka attach appl yenyewe
Za mchina mkuu SHAROBARO kasema pia zinawezekana kuiweka

Hapa ndiyo utaona faida ya Kujiunga na Jf na utaweza kirahisi kabisa kutofautisha kati ya Jf na Fb!!
Thank U Mkuu kwa kuongeza Maarifa yangu katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano!!!

mkuu maelezo yako yanamake sense kwani unaset vipi mobile tracker maana mimi nimeibiwa simu yangu hivi karibuni lkn sikuweza kuipata
msaada tafadhali
ht me nna kasumsung kangu ka bei rahic ambacho kina hii application, sema tuu naona nikiiset huwa inanisumbuaga coz kicm chenyewe nawekega line yeyote tuu so nikiset inakuwa usumbufu kila wkt sms inakuja as if nimejiibia mwenyewe

Hii nimeipenda ngoja niangalie kama samsung yangu inayo hii application.

Duh, mkuu nimepata faida kubwa sana leo, kuna mwana IT mmoja alinipiga fiksi kuwa amebuni yeye mwenyewe hiyo software ili kujilinda na wezi wa simu zake yeye alikuwa anatumia sumsung hivyo huwaingizia watu wanaotaka kwa malipo kidogo.
Nawashukuru sana members wenzangu wa JF, maana nimeweza kuweka free kabisa ktk cm yangu.

mkuu mimi nina sumsung lkn haina hii option nitapataje???

wakuu sim zote za samsung zina izo program ni nzuri sana.

Mkuu mimi nimechungulia kwenye samsung yangu D780 mbona sijaipata naomba maelekezo kidogo.

Sasa mkuu utapokeaje sms wakati simu ndo hiyo imeibiwa? Naomba unielekeze kidogo

mkuu mimi nina sumsung lkn haina hii option nitapataje???

Mkuu mimi nimechungulia kwenye samsung yangu D780 mbona sijaipata naomba maelekezo kidogo.
Wakuu mbona Samsung nyingi zina hii appl, hebu jaribuni kuchungulia kwenye security vinginevyo inabidi kudownload Getjar au ktk forums zingine, just google it

Sasa mkuu utapokeaje sms wakati simu ndo hiyo imeibiwa? Naomba unielekeze kidogo
Mkuu nimeji quote hapo juu, nili maanisha wakati unaset hiyo mobile tracker unatakiwa kuingiza no mbili tofauti na ile iliyomo ktk simu, nilichofanya ni kuingiza no yangu ya tigo na no ya wife, hizo ndizo zilikuwa zinapoke sms

huyo binti mluga luga kwel kwel simu kama hizo kwanza unaipiga flash ndo unaendelea kutumia

Mkuu Paulss Asante sana kwa sredi yako. Kweli hapa tunajifunza vitu vingi sana ambavyo tulikua hatuvijui kabla. Sasa hivi na mimi naweka kwenye Nokia zangu E61i na E 7 .

Thank you!

Mkuu umekwishafanikisha kuweka kwenye hiyo Nokia E61i????

nilisha ona jamaa wanauza hiyo software ya kulinda simu, nikapuuza.

Nikiona tena na mimi ntainunua ili kuilinda Siemen yangu C25 Twanga Pepeta

du! Wewe ni so yaan twanga pepeta bado unayo?!

Mimi nina Blackberry curve 8520 Smartphone. Lakini hiyo option siioni kabisa naomba msaada. My wife ana Blackberry 8310 Smartphone naomba msaada wa hizi pia.

Natanguliza shukrani za dhati

mkuu huyo dada inawezekana umemtisha mpaka akaona atakufa kesho na kingine inaonekana anaroho ya kiskauti kama master kakurudishia..hii ni kweli kabisa hata kuna rafiki yangu na yeye kila siku inamtumia meseji mpaka basi aliiangusha kwenye daladala...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…