Thanx Microsoft for Lumia Cyan

Thanx Microsoft for Lumia Cyan

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,933
Reaction score
1,179
Kwa muda nimekuwa nikitumia windows phone, hasa Nokia Lumia, hii simu kwenye OS ilikuwa Ni shida Sana hasa kwenye internet sharing since Lumia amber mpaka Lumia Black, hizo zilikuwa na lot of bugs,

Lakini since imekuja hii Lumia Cyan kwa Tanzania, imekuja na mabadiliko mengi Sana yaani mengi, kwa wanaotumia watakuwa wanaelewa, nimei update simu yangu now na feel alright, maana ilikuwa Ni shida.

For those ambao hawaja update niwashauri fanyeni ku update maana naamini Kuna notification Ina suggest hivyo, save kwa wale wanaotumia Lumia 925 naona hizo zilikuja na Lumia Cyan kabisa.

Kama huelewi you can ask.
 
Kwa muda nimekuwa niktumia windows phone, hasa Nokia Lumia, hii simu kwenye OS ilikuwa Ni shida Sana hasa kwenye internet sharing since Lumia amber mpaka Lumia Black, hizo zilikuwa na lot of bugs,

Lakini since imekuja hii Lumia Cyan kwa Tanzania, imekuja na mabadiliko mengi Sana yaani mengi, kwa wanaotumia watakuwa wanaelewa, nimei update simu yangu now na feel alright, maana ilikuwa Ni shida.

For those ambao hawaja update niwashauri fanyeni ku update maana naamini Kuna notification Ina suggest hivyo, save kwa wale wanaotumia Lumia 925 naona hizo zilikuja na Lumia Cyan kabisa.

Kama huelewi u can ask.

nashindwa tofautisha kati ya developer na cyan.. maana kwng Nina developer.. he naweza pats cyan? cc: chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:

karibu vinafanana, ni kitu kimoja ila kuna improvement mbili tatu. developer ilikuwa kwenye beta kuna bugs za hapa na pale ila cyan ni final version.

simu zilikuwa zinabrick ukieka cyan ukitokea developer wakastopisha kwanza ila sasa hv wanaresume soon tutapata cyan.
 
Last edited by a moderator:
msaada jinsi ya kufix maandishi kuchezacheza hadi hayasomeki(flickering) hard reset na soft nimejaribu

umejaribu kuflash rom mpya na nokia care? na yanapokuwa yanacheza we unahisi ni software au hardware? labda ni maandishi tu yanacheza au mpaka mwanga unapungua na kuongezeka
 
Kuna tatizo moja limenifanya niichukie hii simu yangu ya nokia.

Nikipokea simu au nikishika kioo na kitu kama mafuta inakuwa kama inastuck hivi, kioo hakirespond wala kufanyaje

Inabidi ulock screen then uifute na kitambaa ndo unaweza kuendelea. Imenichosha
 
una cyan au developer preview?
pia hujaeka lockscreen app yoyote?
 
umejaribu kuflash rom mpya na nokia care? na yanapokuwa yanacheza we unahisi ni software au hardware? labda ni maandishi tu yanacheza au mpaka mwanga unapungua na kuongezeka
ni yanachezacheza hadi icon zinachezacheza kiasi ya kwamba hauwezi tumia simu
 
una cyan au developer preview?
pia hujaeka lockscreen app yoyote?

Nina developer preview.

Hili tatizo nilikuwa nalo toka nikiwa na win 8.0 na mimi sio mtu wa kujaza apps, natumia hardly apps 5/6 tena zile basic ones

Unaweza ukawa unachat au unapokea simu, baada ya hapo unakuta sreen ina stuck huwezi kufanya kitu.

Unatakiwa kuilock screen unafuta kioo na kitambaa then una unlock unaitumia.

Nimekutana na hili tatizo kitambo sana na mbaya zaidi power button yangu imeharibika so nikiwa mbali na charger ikistuck nashindwa kuitumia tena hadi nichomoe battery then niirudishie nitafute sehem yenye umeme then nichomeke charger iwake.

Imagine unasafiri dar arusha, au unaenda sehemu ambayo unahitaji mawasiliano.

Hii hali inanifanya niichukie window
 
jaribu kwenda setting then touch angalia kama sensitivity kama ipo high. kama ipo high change iwe normal.
 
Nilishaangalia hilo, ipo normal muda wote. Yan hadi nilishaipeleka pale midcom kuishughulikia wakasema ipo kawaida.

Sijui shida ipo wap, nimeamua kuiuza then nijaribu kutumia iphone 5 nione itakuwaje
 
Nina developer preview.

Hili tatizo nilikuwa nalo toka nikiwa na win 8.0 na mimi sio mtu wa kujaza apps, natumia hardly apps 5/6 tena zile basic ones

Unaweza ukawa unachat au unapokea simu, baada ya hapo unakuta sreen ina stuck huwezi kufanya kitu.

Unatakiwa kuilock screen unafuta kioo na kitambaa then una unlock unaitumia.

Nimekutana na hili tatizo kitambo sana na mbaya zaidi power button yangu imeharibika so nikiwa mbali na charger ikistuck nashindwa kuitumia tena hadi nichomoe battery then niirudishie nitafute sehem yenye umeme then nichomeke charger iwake.

Imagine unasafiri dar arusha, au unaenda sehemu ambayo unahitaji mawasiliano.

Hii hali inanifanya niichukie window

mkuu na mm power button imeharibika. kuna sehemu wanaweza ifix hii kitu?
 
Back
Top Bottom