Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Hongera sana mpendwa,
Mungu aibariki ndoa yenu muishi kwa amani, raha na upendo pia nina imani mmeishavuka kipindi kigumu na sasa ni kipindi cha kuponda maraha dear, kila la kheri katika kipindi kilichobaki hadi mungu atakapoamua kuwatenganisha
 
hongera sana dada'ang Gaga,mbalikiwe saaaana.cc bado tuko kwenye usharobalo cjui tutafika ngoja tuombe mungu,mungu awape kila kilicho chema,awajazie mlipo pungukiwa.
 
i like this story of ya life...
ubarikiwe sana
Ahsante St ivuga...hiyo ndio story

Hongera Sana..., kwa karne hii ni kujivunia na kumshukuru Mungu.., na kuendelea kufanya uliyoyafanya hadi kufikia hapa,

Please Taomba unilkumbushe mkifika 50 years Anniversary
I hope so... nikifikia huko nitashukuru sana

hongera mpendwa. 17 yrs is no joke, neither is it a bed of roses ( well,it is if u include thorns)
Congrats and many more blessings!
kweli its not a joke lakini tumeweza kwa neema zake Muumba

wow!...fairytale love story...
happy-anniversary.jpg

Gaga, thanks for sharing!
Mbarikiwe zaidi na zaidi...!
Thanx mbu kwa card nzuri nimeipenda sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ndoa halisi huchukua nafasi katika moyo, na wala si katika kanisa, au, ukumbini au shuleni etc. Ni uchaguzi umliofanya sio tu siku ya harusi yenu, lakini kwa kurudia tena na tena. Katika furaha na maudhi etc...

Miaka 17 mmeshajua njia ya kuishi kwa kuheshimiana na kujali kama mume wako au mke. Ni moja ya zawadi ambayo mnatakiwa kumshukuru Mungu kwa kuipata na muitunze ili isije ibiwa kwani kuna wezi wengi huko nje.

Happy 17 years anniversary of marriage & God bless your family!
What a nice comment,yote uliyosema nimeyaweka moyoni, ahsante sana, kwa hii miaka nimejua njia ipi ni sahihi na ipi sio sahihi
 
Hongera sana, sana, you have a good story, na hasa hapo penye kijani, huo ndo ukweli ktk ndoa, vijana wa JF mpoo, wasifikiri rahaaaaaaaaa isku zote, noooooo. Big up keep praying muone wajukuu wa wajukuu zenu

Hongereni mwaya...muongeze
mingine 33!

Gaga hongera sana, kweli nimeipenda story yako, Mungu aibariki ndoa yako

Wow.....congratulations!!! Mwenyezi Mungu awabariki pamoja na uzao wenu wote!

Gaga:
Happy anniversary, and many congrats !

hongera sana Gaga,mzidi kubarikiwa

Happy anniversary. 17 years is worth celebrating! Happy for you and the family.
Ahsanteni sana wakuu Mungu awabariki kwa upendo wenu
 
Hongera sana, sana, you have a good story, na hasa hapo penye kijani, huo ndo ukweli ktk ndoa, vijana wa JF mpoo, wasifikiri rahaaaaaaaaa isku zote, noooooo. Big up keep praying muone wajukuu wa wajukuu zenu

Hongereni mwaya...muongeze
mingine 33!

Gaga hongera sana, kweli nimeipenda story yako, Mungu aibariki ndoa yako

Wow.....congratulations!!! Mwenyezi Mungu awabariki pamoja na uzao wenu wote!

Gaga:
Happy anniversary, and many congrats !

hongera sana Gaga,mzidi kubarikiwa

Happy anniversary. 17 years is worth celebrating! Happy for you and the family.

Hongereni sana na mbarikiwe muwe na miaka mingi.

Hongera sana dear Mungu azidi kuwa pamoja nanyi. umenitia moyo sana kumbe inawezekana!

Hongera sana Mungu aongeze upendo ndani ya nyumba yenu.

GAga yaani unatupa mfano mzuri sana wa jinsi kuwa Panapo Nia pana njia: Ukiamua ndoa yako idumu itadumu. Ubarikiwe sana mpendwa na MUNGU akushibishe kwa mema yote ya nchi.
Ahsanteni sana kwa kweli penye nia pana njia, kila jambo pia lina sababu zake, na Mungu pia ni msimamizi wa yote
 
Hongera aisee! yaani miaka 17 kama umefeli darasa la saba unaweza ukahitaji kalkuleta kuihesabu, jambo ambalo ni adimu sana kwa ndoa za kileo.

kuna kajirani kangu hapa majuzi kaliachana na mume wake hata CD ya halusi haijamaliza kuwa edited. Balaaa!
Hhahahahahaha huyo alikuwa anatoa nuksi tu maybe, thanx klorokwini kwa kweli miaka 17 sio mchezo, mie mwenyewe najiogopa
 
Hongera sana kwa kudumisha ndoa kwa miaka 17! Nina imani wengine wameshaoa/kuolewa na kuachika mara kadhaa ktk miaka 17. Bid up, Gaga.
Ila endelea kuzikabili changamoto za ndoa na usibweteke na miaka 17 kwani Al Gore na mkewe wameachana mwaka jana baada ya ndoa ya zaidi ya miaka 30. Mwombe Mungu akusaidie muishi pamoja hadi kifo kitakapowatenganisha.
On top of that sio vibaya ukitumegea siri ya ndoa yenu kuwa imara
ahsante sana sherrif, siri ya mafanikio ya ndoa yangu ni Upendo usio na kikomo,kuheshimiana, kuombana msamaha kwenye makosa, na kujishusha ili mmoja akiwa juu mwingine awe chini kidogo, kumbuka mafahali wawili huwa hawakai zizi moja
 
Hongera Gaga, najua kila ulipojitokeza uchungu ulistruggle kurudisha raha.
Mungu akujalie paradiso njema duniani na mwisho wewe na mumeo mumuimbie yeye milele.
Asante kwa ushuhuda na hadithi nzuri kuwa yote yanawezekana.
Ahsante saba Mestodkweli hakuna linaloshindikana katika dunia hii
 
Fatuma hujui linapatikana wapi sweety?
We Gaga usinifundishe tabia mbaya mke wa mtu hapana tupendane kwenye keyboard sweety lol! Nawavulia kofia we na mumeo mi nimejaribu mara mbili na kuachana na wote niko sokoni lol!
 
Back
Top Bottom