Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and no one can survive without...
Siku za karibuni nilipita Arusha very briefly, na lazima niseme kwamba nilipata company nzuri sana toka kwa PJ... personally i felt very proud kwa namna ambavyo social network hii imenifanya kupata company nzuri mbali na familia yangu, we had a blast that day and i am sure he enjoyed my company na kujua zaidi intreset zetu pamoja na maisha ya kila siku
this is what we live for, peace and love and for this one i am obliged to give a big up to PJ for his hospitality
DN
Mkuu De Novo, just seeing this!
Woow, nadhani umefika salama Chimbo!
I think iam the one who was supposed to open a thread to thank you for considering my presence in A-Town, giving it a due respect, and finally taking a step ahead by PM'ing me!...really it takes a person of your type to be this gentle!
Men, out there, we had a memorable tym with this buddy and his co-workers, and we witnessed with our eyes as the earth made a one-minute-stop, to usher this great unification!
I learnt that a happiest person on earth is the one who succeeds making more friends!
Pal, thanks again!
Kumbe nina kesi ya kujibu hii thread imeisuta nafsi yangu na mimi nilipokelewa VIZURI sana na PRETA na nilifikia kwake,nilikaa siku 2 alinipa gud time sana jioni tukatoka out na Lily Flower na Member 1 anaitwa Dani. Sitosahau siku ile kweli ARUSHA nitarudi.
du du Askofu nafikia kanisani tena ....Sebene namwachia nani sasa ....? nakushukuru sana Askofu ubarikiwe na bwana ..
***Well noted ****
Kumbe nina kesi ya kujibu hii thread imeisuta nafsi yangu na mimi nilipokelewa VIZURI sana na PRETA na nilifikia kwake,nilikaa siku 2 alinipa gud time sana jioni tukatoka out na Lily Flower na Member 1 anaitwa Dani. Sitosahau siku ile kweli ARUSHA nitarudi.
PJ ni mwanaJF kweli kweli, mi kaka kanitwangia simu jana tu baada ya kutoa simu yangu kwa wanaJF nilipowaalika kwa harusi yangu tar 17/07.Huyu ni mfano wa kuigwa.Big Up PJ.
Usihofu FL1, hata kanisani kuna sebene la Yesu...
Let mo look for reasons mkuu.mkuu rest assured.... na ukienda useme nipange route ya huko!!! this time tutaanzia mbauda na kumalizia CET garden
huyu jamaa bwana haya ..karibu na kwetu...
Pale panaitwa FLORIDA Broda...Kwa wale watu wa masupu ya ulimi, mkia etc..mkuu piijeei,
mimi naikumbuka sana ile valuu ya pale wapi sijui...........
dah!
unatisha piijeei
thanks mkuu for sharing sentimentsKumbe nina kesi ya kujibu hii thread imeisuta nafsi yangu na mimi nilipokelewa VIZURI sana na PRETA na nilifikia kwake,nilikaa siku 2 alinipa gud time sana jioni tukatoka out na Lily Flower na Member 1 anaitwa Dani. Sitosahau siku ile kweli ARUSHA nitarudi.
HUYO SISTA UNA MPANGO GANI NAE MKUU?....
mbona mnayaongea hammalizi?.......
hahaaa leo ni suku nzuri, kesho ofa inaisha kabla jua halijazama
mtafute bigirita na wenzake
Hehehe si kasema alisahau na dhamira imemsuta jamani.
Mkuu....nina mpango wa kuja huko soon for vekesheni....Nitakutafuta