ohoooooo no malice intended my friend, sikujua kwamba na wewe uko arachuga!!! nilim-PM akarespond, you really missed a blast, i was a wolf pact full of joy;oh my my...ulikuwa hapa?....can't believe this....PJ una tuhuma ya kujibu jiandae
Dah nami nitaenda Arusha kushangaa!!:cheer2: Mbarikiwe wadau!
Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and no one can survive without...
Siku za karibuni nilipita Arusha very briefly, na lazima niseme kwamba nilipata company nzuri sana toka kwa PJ... personally i felt very proud kwa namna ambavyo social network hii imenifanya kupata company nzuri mbali na familia yangu, we had a blast that day and i am sure he enjoyed my company na kujua zaidi intreset zetu pamoja na maisha ya kila siku
this is what we live for, peace and love and for this one i am obliged to give a big up to PJ for his hospitality
DN
oh my my...ulikuwa hapa?....can't believe this....PJ una tuhuma ya kujibu jiandae
Yup..Nakumbuka ulikuwa safarini Arusha-Musoma via Namanga-Nairobi!Hata mi nilipita briefly, akanipeleka kanisani!! Kwa kweli anastahili pongezi!
Dah nami nitaenda Arusha kushangaa!!:cheer2: Mbarikiwe wadau!
Nadhani ni mimi tu nimebakia.Karibu sana, Lakini yale mambo fulani yaachie Chalinze!...Huku ni Full-Ngurumo Ya Upako!
Nadhani ni mimi tu nimebakia.
Ni mimi tu kupata mapokezi yako Arusha.
Subiri...........:target:
Kweli hapa nishaona kesi, inabidi mapema nitafute wakili, maana vinginevyo naswekwa mule mule kunako nanihiino!
We kazi yako itakuwa kunitafutia guest house isiyo na kungunihalafu wewe..........
Nimefurahi kweli na hii News ..Lakini Nyanda za juu kukoje ..unaenda sehemu unakosa pa kulala ..ushirikiano Zero ..siku zote me nalala Police kwa msaada ..i wish PJ ungekuwepo mtu mwema
Ubarikiwe na bwana ...
We kazi yako itakuwa kunitafutia guest house isiyo na kunguni
Jamani jamani jamani....:hug: