Thanks.. mwezi wa tabu, umeisha.

Mkuu, baada ya zile mechI mbili za mwisho ulienda sehemu isiyo na network. Nashukuru upo Sasa umerudi kwenye mtandao.
Umewasikia wazee wa baraza la wadhamini?
Mtapigwa tena mechI mbili za mwanzo mzunguko wa pili! Stay tuned
Nimewasikia Mkuu.
 
Hachelewi kurudi eneo korofi huyo huwa anaanza hivi hivi wakianza kupewa anajichimbia huko!
 
Simba hakuna mshambuliaji mzuri na nashangaa wanatafuta mshambuliaji wa Kitanzania. Hivi Tanzania yetu hii kuna mshambuliaji mzawa kweli? Ni bora Kiiza angerudishwa nina uhakika kungekuwa na combination nzuri.

Mnataka kumuacha Murshid, hivi hapo Simba kuna watu wanafikiria vizuri au inakuwaje, hamuwaoni wa kuwaacha?

Yanga wanajua kusajili sana kwasasa,sijajua tatizo la Simba ni fedha au ni nini. Waende nje wakalete mshambuliaji wa uhakika na wajiridhishe kwa kuangalia mechi alizicheza sio kutuletea reject za Azam kama walivyofanya kwa Angban n.k
 
Mkuu.. Usiamini kila kinachoandikwa katika magazeti au story za mitaani, kwani asilimia kubwa hua ni za uzushi tu. Subiri dirisha la usajili lifungwe ndo uje na tathimini yako.
 
Ngoja nisubirie nione.Kama goalkeeper huyo Mghana atasainishwa kilio changu kikuu hapo nyuma kitakuwa kimeisha, itabaki foward tu ila si kwa mzawa.

But ngoja nione hiyo Dec. 15 watatuletea striker kutoka wapi.
 
Nangwanda sijaona.. Pitch mbovu kuliko zote tz.. Simba watarudi na injuries za key players watatu....
 
Bila kusahau tukiwa na pointi zetu 3.. Zilizochagizwa na ushindi wa goli kibwena.
 
Eti wameleta Mkata UMEME sasa sijui atakata Umeme wa kule KIHANSI au kidatu maana pia hatuelewi Kama Wale VYURA WA KIHANSI wanategemea Umeme au maji?
 
Back
Top Bottom