Asante Mkuu Nicas Mtei. vipi umepona kaka?
Pole sana! Bado tunakuombea, vile Mungu wetu ni mwema ataenda kutenda miujiza! Uwe na Imani ndugu!naendelea poa kaka. Still on bed at home.
Madame B na sweetlady, my waifu wangu alikuwa na jukumu la kuniogesha, lakini kwa sababu amepata majukumu mengine ya uzazi, naomba kati yenu moja apewe jukumu la kuniogesha mimi. mambo itaendelea kuwa burdaniiiiiiiiiiiii kwa raha mustarehe sawaaa?Mambo Poa Sweetie.
Loh!! Mbona mnanibania kumwogesha mtoto jamani?
Nimeshaandaa Vifaa vyote vya kazi mamito.
Ndizi naogopa Utomvu.
Mtoto mkubwa anajiogesha mwenyewe.
Hatukubanii dia ila kabla kababy hakajafika kwenye huu ulimwengu Mungi alishajipanga kabisa, kwasasa wa kumwogesha mtoto yupo! Utomvu usijali tutakupa unga unawie lol. Afu uwe unamwogesha mtoto mkubwa mara moja moja tehe tehe!
Hahahaha! Tuko pamoja Madame B...haya mie nimemenya ndizi leo, kesho itakuwa zamu yako manake Preta amesema ana udhuru! Jumatano ni zamu ya marejesho na alhamisi atamenya Blaki Womani, tutapeana zamu mpaka mzazi wetu atoke lol.Mhh!
sweetlady haya nimekubali.
Mzima kabisa wifi yangu, hofu kwako tu.Wifi i michi yu veri machi! Mzima weye?
Just a warning, usiseme hatukukuambia, lol!Hahaaaaaa asante @fp, huyu shepherd ni zaidi ya usalama, Arushaone hata aje na nyama ya namna gani mbwa wangu hali, mpaka mkemia mwenyewe nikapime anajua hilo.
Hongera sana Mkuu Mungi