Thanks God for Giving us Kikwete

Mkuu, bila shaka huyu atakuwa Team ya Slaa maana anaonesha ana chuki binafsi na JK
Yes team slaa ndiyo waliomezeshwa chuki za jadi na mzee wao slaa ila wakumbuke vitanda walivyovitandika lazima watavitandua tu.
 
mimi naonaga kama tanzania haina rais....kama juzi nimeshangaa....chikawe anasema sheria ikenda bungeni hatabadilishwa ..huku kikwete anakutana na watu kwa ajili ya mabadiliko....wakati mwingine akina will malechela wanamdharau na kumpiga vijembe anawaangalia tu...kwa swala ambalo...its his signature legacy..katiba mpya...udhaifu mwingine ni wa kujitakia tu
 
Udhaifu wa kikwete ndio mwanzo wa watz kujua kuwa wananyonywa hivyo ni kusudi la Mungu kumweka madarakani
 
Mungu alitaka watanzania wapitie mateso kama Ayubu, na wana wa Israel kabla ya kupata ukombozi wa kweli 2015.

Watanzania Tuzidi Kuwa wavumilivu kwani Nchi ya Ahadi sasa tunaikalibia T 2015 CDM.
 
maendeleo yapi? Kama ni maendleo ya wauza sembe,wezi,mafisadi,majangili kama kinana,wala rushwa hapo nakuunga mkono mkuu

huoni wakati wa jk mpaka umepata nafasi ya kutumika kama dekio kwa ujila mdogo tu mshukuru jk ungekufa njaa.
 
Kwani bila jk nyie wengi wenu hasa bavicha mngekuwa na maisha?
 
maendeleo yapi? Kama ni maendleo ya wauza sembe,wezi,mafisadi,majangili kama kinana,wala rushwa hapo nakuunga mkono mkuu

hata kuandika huo upuuzi wako humu nayo ni maendeleo. kabla ya JK Tanzania watu wengi walikuwa wanatumia internet? tumshukuru sana JK maana wengine ndo mnapata ujira kupitia kwake
 
Mungu alitaka watanzania wapitie mateso kama Ayubu, na wana wa Israel kabula ya kupata ukombozi wa kweli 2015.

hahahahahaaaaaa. Nadhani ungezaliwa Uganda au Rwanda ungejua tafsiri sahihi ya mateso
 
Mkuu, bila shaka huyu atakuwa Team ya Slaa maana anaonesha ana chuki binafsi na JK

Mtu akiongea ukweli kuhusu serikali ya JK anaonekana ana chuki binafsi na pia mfuasi wa Chadema. Hii nchi ndio maana hatuendelei kutokana na mawazo finyu kama haya.
 
Mungu alitaka watanzania wapitie mateso kama Ayubu, na wana wa Israel kabula ya kupata ukombozi wa kweli 2015.
Ni kweli katika dhana ya nchi isitawalike na migogoro ya kuchinja iliyopandwa na chadema wapo watanzania wamepata shida sana.
 
Ni kama ule wa kwako wa kukubali kutumiwa wakati huna mbele wala nyumba.
 
Udhaifu wa kikwete ndio mwanzo wa watz kujua kuwa wananyonywa hivyo ni kusudi la Mungu kumweka madarakani

sasa mmeanza kuungana na yule askofu KILAINI amiyesema kuwa JK ni chaguo la Mungu. wakati ule mlimshambulia sana mpaka mkasababisha aondolewe DAR ES SALAAM na kupelekwa Kagera ambako pia amenyimwa uhuru wa kuongea
 
CCM ni chama cha ajabu sana...na kina watu wajinga sijawahi kuona...angalia vijana wao kwenye mtandao...wanashidwa kujibu hoja...wanaongea vitu ambavyo havipo...NI UJINGA MKUBWA...MNAABISHA CHAMA...KINAONEKANA HAKINA WATU MAKINI...NINGEKUWA NAPE NINGEWAPIGA MARUFUKU....KUKITETEA CHAMA KWENYE MITANDAO kwa mtindo huo wa KIJINGA kabisa
 
Kilaza lazima umjue tu, hapo tu ndipo uliponichosha, sasa ndugu unashindwa hata kuandika kiswahili fasaha, hiyo regerege ndio nini??
 
Mtu akiongea ukweli kuhusu serikali ya JK anaonekana ana chuki binafsi na pia mfuasi wa Chadema. Hii nchi ndio maana hatuendelei kutokana na mawazo finyu kama haya.

wewe bavicha acha kudanganya watu ukweli gani unaujua wewe zaidi ya chuki mlizopandikizwa na mzee wenu eti popote pale ukiona jina la rais we tukana tu jk ndiye kiboko yenu mtaenda mtarudi yupo tu,
 
CCM ni chama cha ajabu sana...na kina watu wajinga sijawahi kuona...angalia vijana wao kwenye mtandao...wanashidwa kujibu hoja...wanaongea vitu ambavyo havipo...NI UJINGA MKUBWA...MNAABISHA CHAMA...KINAONEKANA HAKINA WATU MAKINI...NINGEKUWA NAPE NINGEWAPIGA MARUFUKU....KUKITETEA CHAMA KWENYE MITANDAO kwa mtindo huo wa KIJINGA kabisa
Ni kama ule wa kwako wa kukubali kutumiwa wakati huna mbele wala nyumba.
 
kweli mkuu umeona mbali,umeona ee?
 
Acha ulevi wa buku 7,kwani maisha ni Jk? Huyu ndio anatufanya tuishi maisha magumu kwa kukumbatia mafisadi,wauza sembe,majangili nk

kama unashinda mtandaoni kuandika upuuzi, unafuu wa maisha utapatikana wapi? halafu unajiita Ukombozi wa Fikra. acha kutumika kijana. umri wako bado ni mdogo. wewe unashinda humu kuandika yasiyo na tija kwa taifa kwa ujira wa shilingi 2000 kwa siku, wenzako wanatumia milioni 700 kuandaa mkutano wa kifedhuli pale Jangwani
 
Tangu jk awe rais kunawatu hawalali wakimuombea mabaya lakini jk ni chaguo la mungu mabaya yote hayamfiki yanawarudi kama nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…