Aisee hapa ndo maana tunawaambiaga watu Tz mbombo ngafu hawaamini. Cheki mtu anakuja kutumia ma paundi yake hapa nawote tunaona jambo la furaha. Ilitakiwa na sisi twende zetu Hawaii huko tukapunzikage hata mara moja kwa miaka kumi lakini wapi.....

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.