Thank you and goodbye NEMANJA VIDIC

tracy martins

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
3,535
1,481
Captain wa zamani wa MUN amestaafu mpira akiwa na miaka 34, hii inatoka na majeruhi ya mara kwa mara yaliyomwandama , kwangu mimi ni kati ya mabeki bora wa kati niliyo,wahi kuwaona
 
Captain wa zamani wa MUN amestaafu mpira akiwa na miaka 34, hii inatoka na majeruhi ya mara kwa mara yaliyomwandama , kwangu mimi ni kati ya mabeki bora wa kati niliyo,wahi kuwaona

KAMA VILE JAAP STAM NA BEKI BOYA KABISA KUWAHI KUMUONA NI PASCAL CYGAN
 
unajua mabeki wengi wazuri wakati ni right footer, sasa cygan ni left footer, mpira ukija upande wa kulia anakuwa mzito kuucheza, right footers ni wepesi kucheza mpira ukija upande wowote, angalia combo ya martin keown na tony adams au steve bruce na gary pallister its real work out very well since all are right footers
 
Back
Top Bottom