masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,668
- 14,679
Potezea basi sisi tushaanza kusahau unatukumbusha tena?. Mi nikimkumbuka napatwa na hasira.wakati huohuo viongozi wa hapa kwetu wanakula rambirambi
Kwa kweli kitendo cha Wamarekani hawa kinagusa mioyo.Marekani ni Taifa lenye baraka tele kutoka kwa Mungu.
Yaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.
Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na wale wenye mioyo mikunjufu wamesaidia karibia Tshs 670million kuokoa watoto watatu na kuwapeleka kwao Marekani ili wapate matibabu yanayofaa.
Tuondoe siasa, lakini moyo kama huu hupata baraka za Mungu.
God Bless America.
Tanzania je? Au ni angel's mpireUnashawishika na kudanganyika kirahisi sana, Amerika ni evil Empire!
Kabisa mkuu..Sio America tu, wazungu wana roho flani amazing.
Jibu mubashara kabisa.Tanzania je? Au ni angel's mpire
na tanzania ni jehanamUnashawishika na kudanganyika kirahisi sana, Amerika ni evil Empire!
Lkn wenye mioyo ya kutu wametumia hilo janga kama kitega uchumiYaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.
Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na wale wenye mioyo mikunjufu wamesaidia karibia Tshs 670million kuokoa watoto watatu na kuwapeleka kwao Marekani ili wapate matibabu yanayofaa.
Tuondoe siasa, lakini moyo kama huu hupata baraka za Mungu.
God Bless America.
Yaani unadanyanyika na maigizo hayo?Yaani nikifikiria msaada uliotolewa na raia wa kawaida kabisa wa Kimarekani baada ya kuona ajali ya watoto kule Arusha, nsishia kumshukuru Mungu tu.
Ajali ile imetikisa mioyo ya watu duniani, na wale wenye mioyo mikunjufu wamesaidia karibia Tshs 670million kuokoa watoto watatu na kuwapeleka kwao Marekani ili wapate matibabu yanayofaa.
Tuondoe siasa, lakini moyo kama huu hupata baraka za Mungu.
God Bless America.
Nami nashangaa sana.Yaani unadanyanyika na maigizo hayo?
wakati huohuo viongozi wa hapa kwetu wanakula rambirambi