Thank God Slaa is not the president, and that will never be


Matatizo ya kwenda na Laptop Bar !!
 
umeandika kwa dharau sana, ila sio watu wote wenye upeo mdogo kama wewe, we unataka utuaminishe kwa mawazo yako! Unajiona umeandika point kumbe ni pumba tupu, kwa kifupi una allergy ya kufikiri!
 
Umeshagundua kuwa uko uchi na sasa unaweweseka.Haondoki mtu hapa,utapewa ukweli.If too hot you know what to do.
 
DR SLAA kuwa mgombea wa urais alipendekezwa na CHADEMA kisha akathibitishwa na tume ya uchaguzi iliyo undwa na RAIS JK, kuwa DR anasifa zote muhimu kuwa RAIS wa nchi hii akapigiwa kura na WTZ 64% ya walio piga kura ( not you) Hadi hapa unasemaje ? Hata hivyo mbona unachoandika hakina correlation alipata taabu mwl. wako
 
Usijiite engineer tu, sema ni engineer ya taaluma ipi. Kwa ujumla umeaibisha!! Hivi hukumbuki kuwa hata Magamba Makamba alisema uchaguzi ulifanyika kihalali na hautarudiwa?? Au yeye ndiye mwenye mamlaka ya kuhalalisha mambo ya watu wa Arusha?? Ni tofauti gani kwa Slaa kusema hatambui makubaliano kati ya CCM-Chadema??

Ukitulia kidogo tu, utagundua una udhaifu sana katika kuchambua mambo. Sielewi kwanini unaandika kwa hasira tena ukiwa peke yako. Nakuomba uondoe hiyo title ya engineer, hakuwa uwiano kati ya unayoyaandika na fikra zetu juu ya kiwango cha elimu yako. Hebu jisitiri kidogo, achana na hoja hii usiyoweze kuilewa kbala hujaandika!!
 
Mkuu Engineer Bukuku, naomba uniambie fani yako mkuu, please nahitaji kujua
 
Hata mtoto wangu wa miaka miwili hawezi kuandika haya uliyoandika.

Kwnini unajidalilisha kiasi hiki.
 
Hata mtoto wangu wa miaka miwili hawezi kuandika haya uliyoandika.

Kwnini unajidalilisha kiasi hiki.
Shida ya kutumwa ni utumwa,huwezi kuwa na mawazo huru kwasababu unazungumza vya kutumwa.Anamezeshwa vizima vizima na yeye anavibugia na kuja kuvitapikia humu.Kaazi kweli kweli.
 
DR SLAA kuwa mgombea wa urais alipendekezwa na CHADEMA kisha akathibitishwa na tume ya uchaguzi iliyo undwa na RAIS JK, kuwa DR anasifa zote muhimu kuwa RAIS wa nchi hii akapigiwa kura na WTZ 64% ya walio piga kura ( not you) Hadi hapa unasemaje ? Hata hivyo mbona unachoandika hakina correlation alipata taabu mwl. wako
 
Slaa phobia inazidi kuongezeka kwa watu.

Mr Bukuku (nikikuita eng. nitakuwa nimekudhalilisha), nafikiri umekurupuka bila kufuatilia sakata lote la makubaliano lilivyokuwa. Kinachogomba Arusha si muafaka bali jinsi muafaka ulivyofikiwa, kwanza haukuwa na baraka za viongozi wa juu wa chama kwani ule sio tu muafaka wa madiwani bali wa CCM na CDM, lakini pia muafaka ule una harufu ya rushwa, magamba wamejipenyeza wakarubuni madiwani njaa wakakubali kujidhalilisha.

Lakini pia utaratibu haukufuatwa, madiwani walioshiriki hawakufika hata nusu ya madiwani wote, huo unauitaje muafaka?

CDM na Dr Slaa (PhD) ni makini na siku zote wamekuwa wakitaka haki na utaratibu vifuatwe, kuruhusu miafaka ya rushwa ni hatari zaidi kuliko hicho unachokisema wewe. Nadhani umenielewa Bw. Bukuku.
 
See how pro-chadema are throwing stones, mna umoja sana nyie! hongereni sana!

I am happy kuwa kumbe kuna natinalists wa matusi!

kama wote mna akili moja, mawazo tofauti yanatokea wapi?? aibu hii jamani acheni kujichoresha, mkijibiwa matusi mtakaa kweli?

angalieni Mushi, kaanza vibaya kuita post yangu pumba, nimemshtua kidogo tu! ni mkongwe hapa lakini busara ziro!

anaweka ligi, kama vile humu mna vikombe, watu wenyewe wanatumia ID za uwongo!!! what a joke!
 
Situmii id ya uongo,na wewe una busara kusema mambo ya mtoto mchanga kwenye hoja yako hapo juu?How is it relevant to the matter?Kama matusi wewe ushayaanza,umesha sema kuhusu mama za watu kuwa wako uchi....U took it literarily "Uchi" tumia akili kidogo utajuwa nilimmanisha "Uchi wa kimawazo"Sasa wewe ndo ziro haswa.Shwain.
unajua ni wakati gani mama yako huwa anakuwa uchi?
 

anachosema huyo jamaa ni hicho ambacho na mimi kimenichanganya. naona kama Dr ameshaweka conclusion sasa anaweka tume ya nini? maana tunarudia madudu ya CCM yaleyale kitu kidogo tu ambacho kinajulikana inawekwa tume. hivi hiyo tume ikisema walifuata taratibu vizuri kuna mtu hapa JF ataipokea vizuri hiyo taarifa? THINK!

na hiyo kujitapa kuwa tutawafukuza na tutarudia uchaguzi sikuipenda nafikiri CDM muangalie namna nyingine za mazungumzo siyo kila wakati kutishiana kufukuzana, unless kama walikula mrungula
 
Hoja kuu ya huyu mtu si issue ya tume. Ni kwamba he is happy kuwa Slaa did not become a president na kwamba he never will be. Ameshindwa kujificha... Alitaka ajifiche nyume ya hayo mambo ya tume.

Hamna kitu hapa.
 
Nimeipitia kwa makini sana hii thread nimekuta Eng.Burton, kaelezea vitu vya ukweli mtupu, tatizo Pro-CDM-JF, wengi wao huwa wapo kama makinda ya bata yanamfata mama yao popote anapokwenda ata kama anavuka barabara, akili zao zimefunikwa na blankent jeusi na hawataki kulifunua ili wawe Breadth, wamekwenda mbali zaidi wanamuona a loser Dr Slaa kama Prophet, wao ni marufuku kumkosoa.

Thank God a loser Slaa is not President! And that will never be
 
Mkuu nakuunga mkono kwa mengi uliyoyasema. Hata mimi nilishangazwa sana na kauli hii ya Slaa na Lema. Ni ulimbukeni wakati mwingine ninafikiri. Na ninafikiri kunahitajika retreat; ni lazima Slaa na uongozi wa chadema wakubali kwamba wamekurupuka na wafute kauli zao dhidi ya wale madiwani.

Hata hivyo napenda nikupinge kwamba mkuu wa wilaya ni mteule wa rais, na anamwakilisha rais, kwa hiyo rais ana mamlaka juu ya mkuu wa wilaya. Pia rais ana mamlaka juu ya maamuzi ya yeyote yule katika nchi akiwemo mbunge, diwani na hata balozi ilmradi maamuzi yake yataonekana yanahatarisha mstakabali wa taifa. Lakini kwa level ya Slaa, ninafikiri kulikuwa na haja ya kufanya reconciliation na madiwani wake kabla ya kukurupuka na kutoa tamko kwenye vyombo vya habari.

Binafsi huwa sina shida sana na uwezo wa Slaa ila kinachonitatiza kwa huyu bwana ni wepesi wake wa kutoa matamko, hata yale yanayotokana na "hear say". Hiki kitu si chema kabisa kwa kiongozi wa juu wa chama hata wa nchi.
 
Shida si hoja,kwani ni ngapi mmeanzisha threads za aina hii na mimi huwa najipitia zangu tu.

Tembelea threads zote mlizozianzisha hiyo group yenu ya kina Malaria Sugu,Foxy et al,zile zanye kumtukana Slaa muone kama niko humo. Nimeshangazwa na mtu mwenye taaluma ya ui engineer kuja na thread ya aina hii. Na maneno aliyoyachagua.

Unadhani ingekuwa wewe ama malaria sugu ningejali? Nyie ndo makinda na huwa nawapotezea tu. Huyu Injinia ndo tuko naye hapa.
 
Naona umekurupuka kutoka kwenye mbege, hizo data zako umezipata wapi! Lete Source JF, sio sehemu ya porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…