Thamani ya mke

Huo ni ukweli aisee niliona story moja kwenye TV kuhusu Baba kufanya kazi za mke nyumbani kwa wiki tu. Alishangaa sana ni kwa namna gani mkewe anaweza kumudu kazi zote hizo na pia kwenda kazini kuwajibika.
Mwanamke ni mtu mmoja muhimu sana!!!
 
Pole sana ,naelewa hii hali
 
...ni kweli Brother Werrason...mambo na simulizi kama hii yapo yanatokea...ni hadithi ya kweli na yakusisimua.

Ndani yake kuna mengi ya kuzingatia na kujifunza....
 

Asante sana mkuu........huu wimbo mzuri sana ukisikiliza maneno yake kweli unaona jinsi gani Dube alimaanisha kuhusu mwanamke.......tusubiri toka kwa BAK
 
Mambo hayo yanawakuta baadhi ya wanawake kwenye familia......somo zuri sana laiti tungekuwa tunajifunza kutokana na makosa ya wengine
 
Lucky Dube nyimbo zake ni nzuri sana. Nilisikitika sana alipouwawa. RIP LD.

kweli kabisa vizuri haviishi...........sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zake...Crazy world, Truth in the world, The hands that giveth n.k
 
Reactions: BAK
Inawezekana na mtu asichizi kabisa.
Mkuu acha kabisa, shughuli yake si ya kitoto na ndio maana ikitokea mama amefariki, mume anakimbilia kuoa mchepuko wake kwa sababu ya kushindwa ku cope na kuwaletea watoto mama wa kambo ili wakione cha moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…