Wengine wanajua kuning'iniza kengele tu ndio uanaume, yaani amemaliza.Uwiii wengine ilimradi tu Wana vipande vitatu basi nao tayari ni wanaume
Na wengine majukumu hawatimizi ila sasa habari ya kuchuchana sasa anakua mpolee mtiifuu
Ila mwambie hakuna hiki hakuna kile atavoreact
Alafu unakuta na familia inaingilia kati, oooh huyo ndio mumeo muhudumie tu!! Bora hata apate ajali ujue ni ajali kuliko hilo la kujitafutia.Sana,bora mtoto kuliko maradhi jamani,mtoto nitalea
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wengine wanajua kuning'iniza kengele tu ndo uanaume, yaani amemaliza.
Mungu atuepusheAlafu unakuta na familia inaingilia kati, oooh huyo ndio mumeo muhudumie tu!! Bora hata apate ajali ujue ni ajali kuliko hilo la kujitafutia.
Yaani acha tu,akitoka hapo akute chai mezani iko complete, umnawishe na kummiminia chai, na watoto uwe umewaandaa tayari nao uwaandalie chai na uhakikishe wako vizuri, nawe ujiandae uelekee kazini, ukirudi sasa vyombo vinakungoja,usaidie watoto home work,ufue uniform zao,uwaogeshe,uandae na chakula cha usiku, bado kile chakula cha baba.
Bora ukimbie
Sio hawa wanaotusaidia kuimba haki sawa mate, walikuwa baba na babu zetu. Hawa wa sasa ni wa kuhesabu wanaoelewa hilo.Tehteh mate bana mbavu zangu mwenzio hukuu
Nivile wanaume hawajui tu Maisha yao yapo mikono mwa mwanamke
Tukitaka kuwamaliza hawa ni dakika sifurii
Ameeen.
Kupigana siwezi shem, na najua we utamtetea mkeo, kwahiyo bora nitoke tu ndukiiii.Bora ukimbie
Half mbona kila niki scroll naona mimi ndiye ME pekee humu. Uzi wa kike huu eeeh?Kupigana siwezi shem, na najua we utamtetea mkeo, kwahiyo bora nitoke tu ndukiiii.
Shem si unajua wanaume wa humu sijui wanawake tuliwachukulia nini!! Kusifia wanawake ni ngumu sana yaani ni kosa la jinai,ila ungekuwa unatuponda wangejazana hapa hatari. we mwenyewe sijaona ukisifiaHalf mbona kila niki scroll naona mimi ndiye ME pekee humu. Uzi wa kike huu eeeh?
Kuna mmoja aliwahi sema, "nyie wanawake ni wavivu sana,msaidizi wa kazi wa nini?" Na hapo alikuwa anaongea na wanawake ambao ni waajiriwa. Just emagine mwanaume wa hivyo!! Kuwa mwanamke ni shughuli jamani, unalea watoto wadogo na mmoja mwenye ndevu zote.
bila makosa kwa nn hamuwezi kuwa mume mwemaWe learn from mistakes
teh teh si nipo hivyo ndio mana nimeitikaumeitika haraka!!!
Shemeji unataka hadi niwasifu kwa mapambioo na kunena kwa lugha?Shem si unajua wanaume wa humu sijui wanawake tuliwachukulia nini!! Kusifia wanawake ni ngumu sana yaani ni kosa la jinai,ila ungekuwa unatuponda wangejazana hapa hatari. we mwenyewe sijaona ukisifia
Nimemuona shemeji yangu BAK tu