Thamani ya mke

Mungu tu ndie ajuaye mapito n majukumu ndani ya familia
Inawezekana na mtu asichizi kabisa.

Michepuko kuna kazi maalum huwa wanafanya.
 
Na hapo ndipo mnapofahamu kuwa ule mchanganyo wa nyama na kabechi mara nyingi si kwakupenda, ni kwakuwa nyama ilikuwa kidogo mama anafanya maarifa.

Wee acha tu wanawake hua tunajiongeza sana
Otherwise siku nyingine inakua balaa
Halafu cha kushangaza hapo mchepuko anaeza letewa kila kitu
Wewe wifey unaambiwa siko vizuri ndo tunaamua kutumia akili ya ziada
 
tunajua sana Daby lkn michepuko isiwaendeshe sana tunawapenda pia

umeongea hivyo kwa hisia nataman ungekua karibu nikuhug asee
Mungu hakupi vyote.
Na sisi jinsia ya kiume hatukupewa woe vyote kuna wenzetu waliletwa kusindikiza.

Sikusoma stor mwanzoni that's why nikaanza kutania.
 
Wee acha tu wanawake hua tunajiongeza sana
Otherwise siku nyingine inakua balaa
Halafu cha kushangaza hapo mchepuko anaeza letewa kila kitu
Wewe wifey unaambiwa siko vizuri ndo tunaamua kutumia akili ya ziada
Hapo hapo kuna watoto wawili wa wifi umeambiwa watakaa mpaka wamalize shule, unaona kabisa mkate hautoshi asubuhi, inabidi ukirudi kazini uumue unga wa maandazi na hulali mpaka uyakaange ili watoto wanywe chai.
 
Kuna mmoja aliwahi sema, "nyie wanawake ni wavivu sana,msaidizi wa kazi wa nini?" Na hapo alikuwa anaongea na wanawake ambao ni waajiriwa. Just emagine mwanaume wa hivyo!! Kuwa mwanamke ni shughuli jamani, unalea watoto wadogo na mmoja mwenye ndevu zote.
 
Hapo hapo kuna watoto wawili wa wifi umeambiwa watakaa mpaka wamalize shule, unaona kabisa mkate hautoshi asubuhi, inabidi ukirudi kazini uumue unga wa maandazi na hulali mpaka uyakaange ili watoto wanywe chai.

Dah huu mfano unamlenga kabisa jirani
Mume ana kazi mke goal keeper aisee ni Huruma sana na Wana watoto wawili
Na Shemejii mtu mdogo wa mume
Hapohapo mume anataka kuongeza mdogo wake mwingine
Yani huyo mama ana ana changamoto sana
Mume anaeza kunywa chai hukooo na mdogo wake akirudi hom haji hata na vitafunwa eti hana hela na mke ni mzazi amejifungua hivi karibuni
 
BAK msaada wako tafadhari
Kweli afanye hivyo, hiyo ngoma Ni kali Sana, Dube anasema,

Mwanamke anawaombea watoto wake wapate elimu bora, anawaombea wafanikiwe katika maisha Yao na familia kwa ujumla, lakini PIA anamuombea mwanaume aliemtelekeza na watoto hao.

Halafu anasema Mwanamke Hua hakimbii matatizo yake, anapambania haki zake.

Pia anasema mwanamke akipata matatizo anajua calm, cool and collected, ukiusikiliza huo wimbo utaona jinsi gani wanawake wanapambana.

Oooh, God Bless the women of this world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…