Thamani ya bia moja ni sawa na tofali mbili

Thamani ya bia moja ni sawa na tofali mbili

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,341
Mwanadamu ndio mchawi,paka katumwa.
Heshima pesa,shikamoo mzigo.
Haikuwa sembe zilikuwa panadol
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu
Mume mwema hutoka benki.
Sos humuhumu cc
 
Huku kwetu tofali moja ni 150/=. Je hizo ni BIA ngapi!!!
 
Itakuwa bia moja tofali kumi na tano
 
acha ubahili wewe,tumia pesa ikuzoee.Kunywa safari lager huku ukifurahia Jagwa bila kusahau Chimbwanga na ule mjani lager pembeni,lalamika kabla hujala.
Nalog off
 
Huku kwetu tofali moja ni 150/=. Je hizo ni BIA ngapi!!!

Aina gani ya BIA? Bei za BIA hutofautiana. Kama dunia yote tungekuwa tuna fikiria tofari sijui kama tungekuwa tumefika hapa tulipo. Hata wewe mwenyewe usingeandika hili uliloliandika.
 
Back
Top Bottom