Thadei Kweka aachiwa huru

Hivi na yule waliyesungizia ni Mwajeshi wa marekani kakamatwa na mabomu vipi#

Dah serikali zetu za kiafrika Zina movie za kishamba sana ,USA soldier kwanza akifanya makosa Kwa Sheria zao anashitakiwa marekani tu si vinginevyo
Mwigulu alikuwa anajitekenya na kucheka mwenyewe hakukuwa na kitu kama hicho.😚
 
Unaishi nchi inalinda uhai wa watu wake kokote kwa namna yoyote hadi una feel proud. Sisi Watanzania tunahitaji kurudi kwenye misingi! Kwasasa uzalendo ni kuunga mkono serikali ya CCM bila kujali uovu wao! Hapana lazima tujiulize upya!
Enzi za awamu ya 5 ulikuwa Pro- government, naona kwa sasa umeamua kuasi mfumo kama ndugu zako kina Idugunde Mzee Mwanakijiji

Kwa Sasa kina Stuxnet gallow bird Lusungo wamechukua nafasi zenu.

Kweli Kila masika ina mbu wake.
 
hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyote
 
Ukiishii marekani lazima afya iwe juu...

Jamaa ana afyaa marekani sio ARDHI ya wanyongeeee
 
aliyetoa maagizo akamatwe YEYE ili twende sawa!
 
hao venuzera wenyew wameshindwa kumtoa maduro mpk trump kaja kumtoa, Ishu sio unyonge tatizo wanatumia vyombo vya ulinzi kupambana na raia na raia hao hao hawana silaha yoyote
Nakuelewa vyema, na mfano wa Venezuela uliotoa wewe ni freshi kabisa akilini mwa watu; lakini hujaeleza chochote kama mabadiliko kila sehemu yamewategemea wababe toka nje kuokoa/komboa nchi zao.
Hata sijui kama wewe ni mtoto wa jana, kutoweza kujuwa mifano kama Afrika Kusini; au hata ya karibu zaidi kama Madagascar na Bangladesh.

Kwa hiyo wewe unasubiri tu hadi hapo Marekani watakapojisikia kutaka kuwaondoa hawa wanaokuweka jela wewe?
Sasa ngoja nikuulize mwenyewe, unayo maslahi na hawa waovu, maana naona upo bize kabisa na kuwajengea ukuta wa kuwakinga wao!
Huna hata mchango mdogo tu, wa kuisaidia Tanzania iondokane na haramu hii; hata bila ya wewe kwenda huko unakokuogopa sana wasikuue?

Kwa fikrabbzako hizi ulizoonyesha hapa, nakuweka moja kwa moja kwenye kundi la waovu.
 
Sasa sirikali imlipe fidia ya nauli yake ya ndege na Kwa adha aliyopata ya kusherekea Mwaka Mpya akiwa mbali na watu alipokuja kusherekea nao na shughuli zingine za kifamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…