By
Precise pangolin
Le mutuz vipi ban imeisha lini? Nasikia ulimwaga mitusi hapa jamvin ukafikiri hiyo minguo yako ya kijani mods wange yaogopa
JF ni balaa. Kuna sehemu niliona Mike kaandika kuwa hata ukiwa TANZANITE member, ukichemka unapigwa BAN kama kawa. Itakuwa Le Mutuz. Badala ya kumkoma nyani, alijikuta anamkoma kuku.
Willy mimi hatujawahi kukutana ila movement yako kisiasa inatia mashaka sana. mbona unaweka nguvu sana kupata nafasi sasa umeenda mpaka kugombea vitongoji na wilaya????
Huoni aibu maana hata vijana kama Mkosamali wameshinda ubunge jimboni wakati bado wanasotea bachelor hapo mlimani.
Wewe pamoja na jina la mzee (ur sirname) ubunge wa kupewa wa EALA wamekutosa. ila bado unang'ang'ania tu siasa.
20% aliwahi kuimba kuwa ukitaka kusikika sio lazima uimbe, hata ukipiga marimba utasikika tu.
Kuna njia nyingi sana za kuweza kusikika hapa nchini ukizingatia wakina Shigongo hawana news tokea Kanumba afe. Ungeongea nao wakakurusha then ukawa naenda kwenye mabendi yetu maana ukitoa buku tano unaimbwa wewe usiku mzima na kwenye albam utasikika.
Kwa mtizamo wangu nilipokuona kwenye EALA na Star Tv juzi, kichwa yako ni nyeupe sana kuwa mwanasiasa kwenye nyakati hizi.