Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.
ukiona hivyo ujue wanaweweseka mkuu
NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..
Ile FUSO ni yakwangu mimi member wa JF na MMM, vp kuna ubaya hapo?
ahaTeh teh teh akikataa RA kuhusu Kagoda hamtaki, Job True True, anyway Me Nothing To Say
Hahahaha. three questions:-
1. Kwanini jina la Mzee Mwanakijiji linafupishwa kama triple M yani MMM wakati mi naona M mbili tu.
2. Hivi kweli Mzee Mwanakijiji hajulikani kweli? Kwaio we believe and maybe trust one we can't see and don't know? Dangerous sio? But at the rate he is going itabidi ajiweke wazi tu because he has a following.
3. Akikataa Rostam hamtaki, mbona Mjj kakataa ku own hizo moto kaa hakuna anaebisha. Hehehe.
Anyways VIVA LA REVOLUTION!!!
kama nimemsoma MwanakijijiHahahaha. three questions:-