TGIF: Fuso na daladala "yangu" DAR

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
It has come to my attention.. jamaa fulani walikosa cha kufanya na kufuatilia magari mawili ambayo moja (fuso) limeandikwa "mzee mwanakijiji" na jingine daladala ambalo limeweka anuani ya tovuti ile nyingine. Sijui kiliwagusa nini kiasi cha kufikiria ninayamiliki na hivyo niko katika kampeni ya kujitangaza..

So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.

NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..
 
So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.

Mkuu unaogopa usije ukatajwa kama mmoja wa mafisadi papa/nyagumi nini? Hahahaha. Maana sikuhizi ukimsema fisadi anaanza kuchambua na mali zako na wewe.
 
Sio Mzee Mwanakijiji tu, yako yaliyobatizwa Christiano Ronaldo, Barack Obama, Pope John Paul na mengineyo mengi mno. Lakini kwa kukosa kufikiri wanaweza kuanza chimba chimba kutaka kujua kinachojiri.
 
Nilibahatika one day kuliona FUSO lenye jina la MMM pale kimara aisee......!ofcourse sikufikiria kulihusisha na ''MMM'' wa JF au wa kule dot com!....ktk kulimiliki but was very interesting to see it like that nikahusianisha na harakati za MMM original!
 
ukiona hivyo ujue wanaweweseka mkuu

Duh naona wameanza kumsaka maana vitu anavyo rusha MJJ vinawakuna sana wakubwa kwa wadogo sasa wameingia hofu jamaa anawavulugia ulaji kwa kuwafumbua watu macho.
 
Habari na mijadala unayoibua Mwanakijiji inawanyima raha waheshimiwa wengi waliofikiria they hold the future of TZ in their hands na wanaweza kufanya chochote bila kukosolewa wala kuulizwa kulikoni. Walizoea kula kwa utaratibu wa bongo tambarare. Kwa kuwa sasa riziki za kimtindo mtindo kama hizo zinaanza kuonyesha sign ya kuota mbawa, lazima watanusanusa kila kitu kinachofana na mmkj ili wakidhibiti.
 
Teh teh teh akikataa RA kuhusu Kagoda hamtaki, Job True True, anyway Me Nothing To Say
 
Hahahaha. three questions:-
1. Kwanini jina la Mzee Mwanakijiji linafupishwa kama triple M yani MMM wakati mi naona M mbili tu.
2. Hivi kweli Mzee Mwanakijiji hajulikani kweli? Kwaio we believe and maybe trust one we can't see and don't know? Dangerous sio? But at the rate he is going itabidi ajiweke wazi tu because he has a following.
3. Akikataa Rostam hamtaki, mbona Mjj kakataa ku own hizo moto kaa hakuna anaebisha. Hehehe.

Anyways VIVA LA REVOLUTION!!!
 
Mkuu MM,
Sio Dar tu wanakokutambua hata huku Kyela kijiji cha Bujonde wanakufahamu na kukubaliana na hoja zako.Shughuli uliyofanya kipindi hiki cha takribani miezi 24 sio ndogo.Nakuomba usije kutoa sura yako hii Tanzanian mafia inakutafuta kwa udi na uvumba baki hivyohivyo mpaka hali itakapokuwa muafaka.
Infact you ur a household name in Kyela and TZ at large!
 
Hahahaha. three questions:-
1. Kwanini jina la Mzee Mwanakijiji linafupishwa kama triple M yani MMM wakati mi naona M mbili tu.
2. Hivi kweli Mzee Mwanakijiji hajulikani kweli? Kwaio we believe and maybe trust one we can't see and don't know? Dangerous sio? But at the rate he is going itabidi ajiweke wazi tu because he has a following.
3. Akikataa Rostam hamtaki, mbona Mjj kakataa ku own hizo moto kaa hakuna anaebisha. Hehehe.

Anyways VIVA LA REVOLUTION!!!

Hizo motokaa kuandikwa majina ya mwanakijiji na dot com yake inadhihirisha kwamba sasahivi mwanakijiji ni maarufu kiasi hicho.Na uzuri zaidi ni kwamba wanaoweza kumfahamu mwanakijiji ni wale wanaopitapita kwenye mitandao, kwa maana kwamba ni wale wenye uwezo na uelewa wa kutosha wa mambo yanayoikumba bongo land.
ni kawaida kuona magari, sehemu za starehe/kilaji(club,grocery,pub nk) kutumia majina ya watu maarufu duniani, kuna magari mengi sana ya Cristiano ronaldo, steven gerrard, ronaldinho na wengine wengi. Kuna magari yana majina ya akina Barack obama, Mzee madiba, malcom x, martin luther king jr, na wengine wengi. Kwahiyo kwa hayo magari kuwa na jina la mwanakijiji ni kusema kwamba naye ametambulika kiasi cha kuwa na umaarufu wa kupelekea watu kumkumbuka kwa kumuandika kwenye magari yao.Bila shaka wenye magari wanaweza kuwa ni members wa JF.
Kulinganisha kagoda(rostam) na mwanakiji ni vitu viwili tofauti kabisa. kwanza angalia hayo magari yana thamani ya shilingi ngapi?haywezi kuzidi milioni 100 za kibongo, ukilinganisha hiyo na sh.bilioni 40 za kagoda utapata majibu mwenyewe,hapo hatujataja richmondi na ndugu zake.
hata hivyo issue sio kwanini mwanakijiji amiliki hayo magari au kwanini rostam awe na hizo "biashara" zake, suala ni kwamba wamezipata kihalali???
 
Hahahaha. three questions:-
1. Kwanini jina la Mzee Mwanakijiji linafupishwa kama triple M yani MMM wakati mi naona M mbili tu.
2. Hivi kweli Mzee Mwanakijiji hajulikani kweli? Kwaio we believe and maybe trust one we can't see and don't know? Dangerous sio? But at the rate he is going itabidi ajiweke wazi tu because he has a following.
3. Akikataa Rostam hamtaki, mbona Mjj kakataa ku own hizo moto kaa hakuna anaebisha. Hehehe.

Anyways VIVA LA REVOLUTION!!!
kama nimemsoma Mwanakijiji
sijaona akiweka au kushawishi kwamba anataka kupewa chochote ktk uongozi wa nchi hii zaidi ya watawala kufuata kanuni za utawala bora tena kwa maslahi ya wengi.
Kwa nyie mnaoitafuta sura yake inawezekana mkawa mmeshaonana naye lakini hamumtambui kama ni yeye. kwani kipindi kile serikali ilipowakamata akina Maxence ikidhani ndo imeua Forum kumbe ikaja kujulikana kwamba Invisible yupo kote ulimwenguni na si rahisi kumtrace kama walivyodhani. naamini dhana hiyo hata kwa Mwanakijiji. Mkisema oooh tumemvumbua na tumemkamata mtakuwa mmekamata fikra moja tu kwani ataendelea kuwakoma giladi kwa nick ile ile akiwa ktk mikono yenu ndipo mtajuuuuta kumfahamu.

Hivi wadau hamuoni raha kuchangia forum bila kuchimbuachimbua kumjua fulani ni yupi na fulani ni nani? Mnachokitafuta ni nini hasa????
 
Last edited:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom