TGIF: Fuso na daladala "yangu" DAR

Najua huwezi kuamini na alikuwa shori mkali kweli kweli.....kitu ambacho nilipomuuliza aliskuwa anaporomosha maflag kwa Yo Yo utafikiri anamjua.....naogopa kusema mengi alinijibu maana nahisi atakuwa anatembelea sana JF alipotoa design ya tatoo yake.....

hehehehe Yo Yo hii kamba kwa nini hukunitumia mpira huo?
 
hii ya kuandika majina ya wana JF inakera sometme......kuna shori nilikutana nae kachora tatoo ya jina la Yo Yo kifuani......nili mind sana

Shekhe kifuani ulikuwa unatafuta nini ? Wewe nasikia huwa unajiexpress sana kule kwenye line ya tiGo?
 
It has come to my attention.. jamaa fulani walikosa cha kufanya na kufuatilia magari mawili ambayo moja (fuso) limeandikwa "mzee mwanakijiji" na jingine daladala ambalo limeweka anuani ya tovuti ile nyingine. Sijui kiliwagusa nini kiasi cha kufikiria ninayamiliki na hivyo niko katika kampeni ya kujitangaza..

So kwa vile sina utajiri huo, naomba mwenye picha ya magari hayo (namba ninazo) ili na mimi nijione kuwa kumbe cheche kweli zimepamba moto.

NB: Mkiwaona muwasilimie tu.. similiki hata mojawapo msije mkawachomekea bure..

M. Mwanakijiji,
Kama umefahamishwa kuhusu route ya basi ama fuso "lako" basi nielekeze ili nipige picha. Nasema hivi kwa sababu kuna route kibao sana, hivyo si rahisi kujua uanzie wapi kusaka daladala husika.
Just a tip and the photos will posted the same day.
Regardz
Idimi
 
Mazee nataka kuwekeza na mimi, naomba kibali chako nitumie jina lako, kwenye Restaunt nitakayo anzisha kule Nyamswa nataka iita Mzee Mwanakijiji Restaurant, na chai Maharagwe itakayokuwa inatoka Geita kuja Mwanza niite KLHnews Bus services....nadhani Traffic police wataniheshimu.....
 
Back
Top Bottom