MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Mi siamini serikali haiko serious na elimu na walimu wetu kiasi hiki.
Tujiulize kwenye bajeti ya sasa ni kiasi gani kimetengwa kujenga nyumba na walimu na kununua vitabu . Yaaani mpaka pesa iliyokuwa misallocated na wala rushwa imekamatwa ndo wanakuja na sababu tamu.
- Kwa nn kununua vitabu na kujenga nyumba za walimu mpaka pesa a BAE.
Hapo ndio utashangaa na liserekali hili lisilo na msimamo !