Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limetupilia mbali rufani ya klabu ya Polisi Dar dhidi ya klabu ya simba ktk kombe la FA kwa madai kwamba haikuambatana na ada ya rufaa. Polisi ilikata rufaa kwa madai kwamba simba ilimjuisha beki novatus lufunga katika kikosi chake wakati akiwa bado anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa ktk mechi ya mwisho ya mashindano hayo msimu uliopita.
Wale wapiga ramli endeleeni kupiga ramli.
Source: Mwanasport.
Rais2020.
Wale wapiga ramli endeleeni kupiga ramli.
Source: Mwanasport.
Rais2020.