TFF yaongea.....

TFF yaongea.....

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,982
Taarifa zilizoenea kuwa, Timu yetu ya Taifa, al-maarufu kama "Taifa Stars" Imefungwa Magoli 7-0 kutoka kwa Algeria ni za uongo na tunawaomba wapenda soka na WATANZANIA kwa ujumla wazipuuze maana hazina ukweli wowote na zinalenga kuwagawa Watanzania na kuleta chuki zisizokua za msingi, Aidha SECRETARIETI yetu inaendelea na ujumlishaji wa matokeo na Kufikia kesho matokeo yatakua tayari na yatatangazwa Rasmi.

MUNGU Ibariki TANZANIA
 
9-2 wametuonea Yaani matokeo yao wamefanya yetu, tutaitisha mgomo nchi nzima mawakala wetu walihongwa haiwezekani!

Lazima tushiliki kombe la chandimu Huku wanatuchakachua sana.
 
Nimesikia mchezo huo utarudiwa baada ya kufutwa matokeo yake na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya STARS wasiwasi tu kama hiyo kamati inayomamlaka ya kuufuta huo mchezo.
 
9-2 wametuonea Yaani matokeo yao wamefanya yetu, tutaitisha mgomo nchi nzima mawakala wetu walihongwa haiwezekani!

Lazima tushiliki kombe la chandimu Huku wanatuchakachua sana.

Jamani, mtatuua kwa kucheka wenzenu mbavu changa......
 
Back
Top Bottom