Hao TAKUKURU wenyewe ni yanga sijui itakuaje nyie makolo [emoji172]Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
Kama unawalaumu ihefu kupigwa 5 wewe timu yako ulipigwa ngapi vile?Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
[emoji23][emoji23][emoji23]Hameni nchi maana tunaelekea kuhonga n CAFHao TAKUKURU wenyewe ni yanga sijui itakuaje nyie makolo [emoji172]
Mpira ni mchezo wa wazi wazi. Simba wameshindwa kupata ushindi uwanjani, wanatafuta ushindi wa kuchafua biashara zinazodhamini mpira na kuchafua ligi yetu.Waanze na ile mechi simba alikula kono la nyani maana haiwezekani wachezaji na mo waliuza mechi ile.
Wafa maji hao utawaweza mkuu , ni haki yao kutapatapaHoja dhaifu kweli! Simba alifungwa 05 na Yanga msimu huu, je kuna kupanga matokeo hapo! Ifike pahala mtambue jitihada zinazofanywa na Uongozi plus wachezaji. Ni dhahiri kwamba Yanga imeimarika mno! Msisahau kwa haraka, ni Yanga hii iliyomfunga mwarabu goli 4 na kufuzu robo fainali! Ni Yanga hii iliyocheza fainali Shirikisho. Ifike mahali muanze kuiheshimu Yanga please.
Hao Simba walifungwa 5 na hao Yanga… tuanzie hapo na wao waliipendelea YangaKuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ya kuipendelea Yanga...
Mwezi Mtukufu una Badilisha watu sana✍️😂Siku ukimsikia kiongozi wa Simba amesema lolote basi hivyo vyombo vitachukua maamuzi ila kama ni mashabiki wachukuliwe nani waachwe nani?...
Tulia braza.. 😀Mwezi Mtukufu una Badilisha watu sana✍️😂
Hakika! Njia moja ya kuendelea kufeli ni kuwalaumu wengine kwa mapungufu uliyonayo!Wafa maji hao utawaweza mkuu , ni haki yao kutapatapa
Wa kupeleka malalamiko takukuru yupo?Kuna video nyingi sana zinasamaa zikiwaonyesha wafuasi wa Simba wakiilalamikia kampuni ya GSM kushirikiana na timu nyingine za ligi kuu kupanga matokeo ...
Ni wewe au kuna mtu umempa simu?Siku ukimsikia kiongozi wa Simba amesema lolote basi hivyo vyombo vitachukua maamuzi ila kama ni mashabiki wachukuliwe nani waachwe nani? Hizo kauli ni za mashabiki na wote sio Yanga si Simba kwa nyakati tofauti huwa wanaongea kile wanachoona kinafaa...
Hapa ungesema mashabiki wapewe elimu kuwa kuongea vibaya juu ya ligi yetu hatukomoani wenyewe kwa wenyewe bali tunacchafua taswira ya nchi..
Ila kama hivyo vitendo vinafanywa wachunguze wao kama wao then vikomeshwe...