TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

Rejea historia
Simba ni timu ya wakoloni walianzishwa kupinga Yanga waliokuwa wanafanya harakati za ukombozi

Zamani Simba iliitwa Queens đź‘‘ stars baadae ikaitwa Sunderland ndo likaja jina la Simba au mbumbumbu
Fikra duni na analyst wa Tanu ndio aliwaweka.

Historia inaonyesha Simba na Yanga zilizaliwa kutoka timu iliyoitwa New Young.

Mwaka 1935 na 1936 baada ya mgawanyiko ndio ikaundwa Young African na Queens zikiwa ndio timu za wazawa.

Ila tofauti yake Simba ikawa ni waafrika waliopata elimu, wafanyakazi wa bandari na watoto wa kata ya Mchafukoge.

Wakati Young Africa ndio timu iliyoundwa na makabwela kutoka bonde la Mto msimbazi , wasio na mbele Wala nyuma na ugmfahamu hafifu.

Hizi timu zote zilishiriki Ligi ya waafrika watupu na kuongeza hamasa ya Ligi.

Hapa hakukuwa na jina la kiafrika Wala kiswahili ila zote zilitumia lugha ya kiingereza tu.

Baadae Simba ikaungana na Arabs football club Ili kuboresha zaidi. Na kuitwa Sunderland

Huku Yanga ikibakia na wahamiaji haramu na wakimbizi kutoka Malawi huko na Burundi.

Baadae Sunderland ikaitwa Eagle F.c
Na kusaidia uhuru wa Tanzania na mwanachama wake Sykes alimpa nauli Nyerere Ili aende Uingereza kudai uhuru.

Young Africa ikabakia timu ya wabaguzi, wasio na elimu, kipato na upeo finyu.

Baada ya uhuru Raisi wa Zanzibar akaomba hizi timu azitumie majina ya kiafrika hivyo Eagle f.c ikajiita Simba s.c ila Young Africa ikabakia na majina ya kikoloni mpaka leo.

Ila wanachama kwa sababu ya upeo mdogo, elimu ndogo wakashindwa kutamka ndio ikaitwa Yanga ambayo haipo popote kwenye katiba yao.

Mazingira: Simba ipo Town ila Young Africa ipo bondeni kule jangwani kwenye mafuriko.

Mpaka leo, hali haijabadilika kabisa
Wanachama wao wanasapoti uongozi wao kwa kugomea mechi wakati wanaijua kitakacho wakuta.

Simba ni Taifa kubwa
Simba nguvu moja
Ubaya Ubwela
 
Kama HAMCHEZI si basii... Kila siku kupiga makelele tuu...
 
Mna misemo nyie, si mfungue tu kiwanda cha khanga tupate cha kuwavalisha wake zetu?

Uhuru wa Tanzania uliletwa na wenye pesa kina Kahama, Rupia, Kambona na Sykes na hakuna ushahidi wowote na uwezekano ni mdogo sana kuwa hao watu walikuwa mashabiki wa Deportivo de Utopolo.
Queen stars ndo vibaraka wa wakoloni
 
Mbumbumbu mna ndoto
Hapa mtaiona nguvu ya Yanga
Nguvu ni kucheza tu, point tatu mezani hakuna. Siku bodi ya ligi ilipoachia waraka kuwa mechi imeahirishwa ndio basi tena Simba tukawa free. Next ni nyie msije, binafsi nataka hivyo...Simba tuchukue ubingwa na kuwacheka.

Tuna ratiba CAF tuko busy.
 
Nguvu ni kucheza tu, point tatu mezani hakuna. Siku bodi ya ligi ilipoachia waraka kuwa mechi imeahirishwa ndio basi tena Simba tukawa free. Next ni nyie msije, binafsi nataka hivyo...Simba tuchukue ubingwa na kuwacheka.

Tuna ratiba CAF tuko busy.
Hilo haliwezi kutokea
 
Duhh kumbe hujui Historia mkuu. Simba ilijitenga kutoka yanga ikiwa ni team ya mabwanyenye (Waarabu).
Tanu walisema ninyi mna upeo mdogo na ufinyu wa elimu

Kama ilikuwa timu ya Waarabu watupu, iliwezaje kushiriki mashindano ya waafrika watupu?

Timu iliitwa New Young na walipogawanyika ikitokea Young Africa na The Queens.

Tanu haikukosea kuwaeleze kama ninyi ni fikra finyu
 
Sasa ikawaje Simba kihostoria ikaitwa Queens stars na ikiwa timu ya wanaume
No way wakishua kina Kambona, Rupia na Kahama kushabikia timu ya hohehahe.

Vibaraka wa wakoloni wasingedumu baada ya Nyerere kupata madaraka.
 
Nawashauri Yanga wapeleke kesi mahakamani ili FIFA watufungie tukose wote!Kama mbwai mbwai tu!!!
 
Mguto aliogopa kutumia kanuni ili aiokoe Simba isishushwe Daraja Sasa kazi anayo Yanga hawacheki na kima
 
Back
Top Bottom