TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
TFF na taasisi zake zimeshindwa kusimamia maslahi ya football Tanzania

Viongozi wa TFF wamejawa na mahaba na ushabiki Kwa Simba

1. Bodi ya ligi moihairisha mechi mkasema Kuna uvunjifu wa kanuni na Tuhuma za rushwa
Leo mnatoka mnataka kupanga tarehe ya mchezo je hao waliosababisha mchezo kukwama mliwabaini na mmewapa adhabu Gani Kwa kanuni zipi, Au mlifunika kombe mwanaharamu apite

2. Simba walisema mabaunsa wa Yanga walikwamisha ufanyajinwa mazoezi
Hao mabaunsa ni akina nani?

Polisi walishindwa kuwabaini na kuwakamata kuwafungilia kesi ya jinai ya uvunjifu wa amani.

3. Tuseme Simba alizuia kufanya mazoezi
Je kanuni inasema kama timu ikizuliwa mazoezi igomee mechi?

4 TFF walipuuza kusikiliza shitaka la Yanga maksudi
Ili kuinyima haki Yao ya msingi

5 Bodi ya ligi wanaidharau Yanga na viongozi wake
Kusema watapanga ratiba mpya mechi bila kuwaita Yanga na kuwasiliza ni dharau na ushabiki

6. Yanga ina ushawishi mkubwa, ni timu inayovutia wawekezaji kwenye mpira
Kuishusha Yanga daraja msitarajie Azam kuwekeza kiasi kikubwa cha pesa

7. Yanga ni kubwa imepigania uhuru wa nchi
Kuichezea na kuhujumu Yanga huwezi kutoboa utakwama

8 Remote control ya kiongozi TFF inatoka 5imba kuanzia hii hujuma na uhuni

Busara ni bodi ya ligi kujiuzilu hapo mtashawishi Yanga aweke mapanga chini
 
Endeleeni kushupaza Shingo wanayanga na mwanasheria wenu mbumbumbu.

Mechi Iko palepale, Kama CAS wamelirudisha huku maana yake wameliona ni suala ambalo linamalizwa huku huku chini.

Jichanganyeni, mnyama anapewa Goli Tatu na Pointi Tatu.
 
Mbumbumbu mna ndoto
Hapa mtaiona nguvu ya Yanga
 
Wakati anapigania uhuru, Simba alishirikiana na wakoloni?

Timu zote mbili zilipigania uhuru ila Yanga Tanu ilikuwa na watu wenye fikra duni.

Hivyo huendeshwa na propaganda
Rejea historia
Simba ni timu ya wakoloni walianzishwa kupinga Yanga waliokuwa wanafanya harakati za ukombozi

Zamani Simba iliitwa Queens 👑 stars baadae ikaitwa Sunderland ndo likaja jina la Simba au mbumbumbu
 
Hujui historia vizuri nenda kasome vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom