TFF kunani?

TFF kunani?

MasterP.

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
8,262
Reaction score
6,826
Mlipochapia kwenye ile ngao ya jamii mlijitetea tukawasamehe tukidhani labda ni mambo ya ugeni tu. Sasa mmerudia tena kosa kama lile lile..
Kama lugha ya malkia ni tabu kwenu ni kwa nini msitumie kiswahili tu?
mnatia aibu bwanaaa
1507458474441.png
 
Back
Top Bottom