kwa hiyo we unaona sio wakati sahihi wa uchaguz kwa sasa??mkuu umewaona wagombea wenyewe...wengine wanaota tu safari za kwenda ulaya
Hahaha mkuu mimi sina uzoefu na masuala ya soka mkuuSijui nisemaje...labda ungegombea wewe atleast tungepata matumaini
Mkuu heri yako wewe umesema haya maana kuna watu wanataka kutuletea Bomu zaidi ya lile la Ndolanga na Rage. Hao wrote ni waganga njaa ni mara elfu kumi Malinzi aendele amalizie yale yote mazuri aliyoyaanza.Nimeona wachezaji wa zamani ( ndondo) eti wanagombea ili kurejesha heshima ya mpira wa miguu , na kwamba hawataki mpira uongozwe na mtu ambaye si wa soka!! watuambie kwenye kipindi chao wakati wanacheza ni kikombe gani hata kidogo kama cha kahawa waliwahi kuchukua? nimeomoma kwenye historia kuwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu Tanzania haijawahi kuchokua ubigwa wa Afrika au Dunia? sasa hiyo heshima wanayoirudisha ni ipi?
Timu yake tuu ameshindwa kuisimamia ikashuka daraja ndio ataweza TFF.Kiongozi wa African Lyon namkubali sana vision yake natamani agombee hawa wengine naona business as usual