TFF kisiwe ni kijiwe cha ulaji

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,894
2,000
Nikiangalia sura za baadhi ya wagombea sioni tumaini kwenye soka la Tanzania.
Naziona njaa na ulafi.
Naona mambo ya ushabiki ambayo sidhani kama yataleta tija kwenye soka letu.
Na hawa wazee wanatafuta nn kwenye uchaguzi...vijana hamna?
Sioni sura/ dhamira itakayoleta ahueni kwenye soka la TANZANIA.
Nashauri viongozi wa TFF wawe na probation period..atleast mwaka mmoja kama watumishi wengine..na kuwe na appraisal ili kama mtu haperform aweze kuenguliwa.
TFF kisiwe ni kijiwe cha ulaji ..Nawasilisha.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
32,277
2,000
Sisi tushangilieni nje basi, hakuna chochote tunachochangia kwenye soka.
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
3,935
2,000
Nimeona wachezaji wa zamani ( ndondo) eti wanagombea ili kurejesha heshima ya mpira wa miguu , na kwamba hawataki mpira uongozwe na mtu ambaye si wa soka!! watuambie kwenye kipindi chao wakati wanacheza ni kikombe gani hata kidogo kama cha kahawa waliwahi kuchukua? nimeomoma kwenye historia kuwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu Tanzania haijawahi kuchokua ubigwa wa Afrika au Dunia? sasa hiyo heshima wanayoirudisha ni ipi?
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,200
2,000
Nimeona wachezaji wa zamani ( ndondo) eti wanagombea ili kurejesha heshima ya mpira wa miguu , na kwamba hawataki mpira uongozwe na mtu ambaye si wa soka!! watuambie kwenye kipindi chao wakati wanacheza ni kikombe gani hata kidogo kama cha kahawa waliwahi kuchukua? nimeomoma kwenye historia kuwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu Tanzania haijawahi kuchokua ubigwa wa Afrika au Dunia? sasa hiyo heshima wanayoirudisha ni ipi?
Mkuu heri yako wewe umesema haya maana kuna watu wanataka kutuletea Bomu zaidi ya lile la Ndolanga na Rage. Hao wrote ni waganga njaa ni mara elfu kumi Malinzi aendele amalizie yale yote mazuri aliyoyaanza.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom