TFF Iangalie pia na Wapiga Misumari...........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Baada ya mateja nashauri TFF pia ishughulikie wazee wa miba vnginevyo Mbuyu Twite hatacheza Yanga....(ka-mfano tu)
 
TFF haihusiki na mambo ya ndani ya vilabu hivyo kama wachezaji wanapigana misumari ni swala la klub husika lakini inachangiwa na vilabu vyenyewe kwani kamati za ufundi zinashirikisha watu wanaoamini mambo ya ushirikina na pia wanatumia pesa nyingi kwa kutafuta ushindi kwa njia hizo kumbuka milioni 10 alizowapa manji wazee wa yanga ili waifunge simba wakaambulia patupu
 
Back
Top Bottom