Ok.
Ndoto zako ni kuanzisha Duka la Dawa(Sijajua ni Dula la Dawa Muhimu au Pharmacy), unaweza kuanzisha kwa kuwa una mtaji maana hela yako ndio itafanikisha kila kitu.
Ili kuokoa pesa kwenye sehemu ya mtoa dawa(Medicine dispenser), kasome kozi ya mwaka mmoja ya utoaji dawa. Nyuo vipo vingi hapa jijini Dar vinavyotoa hiyo kozi. Ukihitimu hiyo kozi utafanya mtihani wa Baraza la Famasi ili usajiliwe na kupata leseni ya utoaji dawa.
Mengine yote yaliyobaki, hela yako(mtaji) ndio utafanikisha kila kitu. Vitu ni vingi vinavyohitajika ili kuanzisha Duka la Dawa